SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,803
- 25,442
Mmekuwa wangap baada ya mechi?Nina uhakika baada ya mechi tutakuwa wa tatu kwenye ligi
Mmekuwa wangap baada ya mechi?Nina uhakika baada ya mechi tutakuwa wa tatu kwenye ligi
pole jamani.Mie nawania nafasi ya saba Mkuu. Tumekuwa kichochoro hata ile nafasi yetu ya misimu yote mwaka huu wametupora.
Kwangu mimi man of the match ni FELLAIN
pole jamani.
Mwqmbie bashite aweke vyeti mezaniLeo wekundu naona mmefurahia sana, ila afadhali Man U hawajamtia aibu tena Mourinho.
Wamepiga mpira mwing sana leo kila mchezaji alitimiza majukumu yake kama alivyopangiwa na bossWewe na wenzio mjifunze ku analyse game sio mnaangalia visigino kanzu etc. Mpira wa Ulaya hawaangalii hivyo vitu.
Wanaojua mpira tu ndio wanaweza kuona kazi ya Ashley Young au Lingard. Umemiona Victor Moses leo? Unajua Lingard kakimbia km ngapi? Au amefanya sprint ngapi?
Msifikiri Mou mjinga kuweka bench talent kama Martial au Shaw. Football is more than just talent,its a war.
Kwa kweli OLD TRAFFORD walizoea kukomba point leo Chelsea SHOTS ON GOAL ZEROOOOOOOOOOO!!Leo ni siku ya furaha sana, thanks Man utd family.
Kwa hiyo ww unashangaa Samatta kucheza Ulaya?kocha au chizii......... unamsifia kw kombe gani hilo mpk samata anacheza.
Mbinu za Mourhnio ni kiboko!Nilisema siangalii mechi kwa kikosi cha leo, daaah ile nimekula maneno yangu,
Sikutegemea kabisaa,
GGMU
Babu yupi?Shukrani sana. Nasubiri kusikia kama Babu hatakuwepo msimu ujao maana yeye ndiyo chanzo cha matatizo yetu miaka nenda miaka rudi.
Mwaka wa Spurs huu hata Chelsea wameona hiloLeo tumewabikiri cha nyuma hawa kidadadeki.
Na ubingwa hawachukui
Wa tano ila tuna mechi mbili hatujacheza. Tukishindwa Liverpool tunampita. Halafu kwa ManCity wanatupita point nne lakini tuna mechi moja. Na bado tuna mechi nao.Mmekuwa wangap baada ya mechi?