Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kabla ya hii game vs Stoke City, Liverpool alikuwa katuzidi points 5 sasa hivi ni points 4 kwahio si haba.

Spurs na City gap ni vile vile kwahio so far sio mbaya sana.
 
Full time:
Stoke city 1 vs 1 Manure
Sijajua logic ya kuongeza dakika 5.
But hongereni kwa kuondoa aibu
Haihitaji uwe rocket scientist. Ni muda unaoongezwa kufidia muda uliopotea kwasababu mbalimbali kama majeruhi etc.
 
Screenshot_2017-01-22-07-06-02.jpeg
 
UmeniQuote Wrong Kabisa!!
Mimi Hapa Sikuzungumzia Usajili Wa Timu Kukosea!! NimQuote Kuhusiana Na Next Number 7 tu kama lilivyo Swali.... Na Nimemtumia Ronaldo Kama Kigenzo Kwa Sababu Ndiye Icon Wa Mwisho Kudeserve No 7...
Beckam Kapokea Kutoka Kwa Cantona...
Ronaldo Kapokea Kutoka Kwa Beckam....
Na Nani Atampokea Ronaldo??? Hiyo Ndiyo Point Yangu... Kwani Wengi Waliokusudiwa Wamefeli....

Na Hapo NimeQuote Kuhusiana na Swali Lililoulizwa... Na Hilo Swali Halikumdirect Mtu! Kwa Maana hiyo Kila Mtu Anaweza Kujibu...... Sasa Nashangaa Kukuona UnaniQuote Kuhusiana Na Liveroopl Wakati Sijauliza Swali......
Kila Timu ina ICON wa Namba Hilo Najua....

Bebe ni namba 7?
 
Obetan namba 6 zaha 11 wapi na wapi na 7
 
Naona Wenyewe Wanamiminika Kutoka Mafichoni Baada Ya Kupotea Kwa Mda.....
Dah! Pongezeni Angalau Kwa Kuibuka Na Kapoint Kamoja Unlike Me Niliyelamba Ndimu......
But Stiill You Have a long Way to go till to get a Spurs or Chelsea....

For me Everything had fallen apart....

Spurs 6 long way ipi to go mzee?
 
Tatizo Msimu Huu Aliyewaroga Katumia Nyota Ya Jogoo! Na Ndiyomana Liver Akiharibu na Nyinyi Munaharibu..... Mechi ijayo Munashinda Coz Liver Atamfunga Chelsea.....

Liver Hufungwa na Vibonde sio Wale Wanaojiita Big Teams Kama Chelsea! Prove Me Wrong....

Game hii liverpool hawez kupoteza naunga mkono hoja
 
Mimi pia nasikia kama wewe kwamba " ... refa aliyechezesha haipendi man u na hampendi morinho". Na ndio sababu refa akatoa free kick badala ya penalty. Ile ilikuwa ni penalty kweli kweli. kwii kwiiii, khe kheeeeee

Ninachokiona ni mechi nyingi ambazo Man United wameshafungwa, huongezwa dakika kuanzia 5-8 za nyongeza. Hii inafanyika kimipango au kibahatinasibu?

Kati ya dakika 90 au dakika 6 na nane zipi nyingi?
 
Back
Top Bottom