Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Maisha yako speed sana yaani man u inashangilia sare na stoke?
 
Am dissapointed with a draw, tumecheza vibaya. We have stuck at 6 again.

Rooney is a legend kwa level ya club kasha shinda kila alicho kishindania. Jamaa namkubali sana.
Mkuu hizi gemu 2 zimeniuma kweli (stoke & liva)
 
Mkuu hizi gemu 2 zimeniuma kweli (stoke & liva)
Mie pia naona kuwa yes tumekuwa undefeated lakin tumedrop points 4, sasa cha kuombea ni labda liva wafungwe na chelsea ili wawe wametupita point moja.
 
Rooney: "I wanted to get back to the halfway line and get a second goal." [HASHTAG]#kutokatwitter[/HASHTAG]
 
4559a42a8adacf477070f6f4e08cc604.jpg

Hivi hili pimbi huwa lina ajenda gan likichezesha mechi za MAN U,

Linakataa clear penalt kabisaa, na sio mara ya kwanza kufanya upuuzi huu,

Huwa nikimuona kwenye game zetu basi nataman hata nisiangalie
 
Mie ndio kabisaaa sinaga hamu nae
 
ddd276182e7e73d8798fdd883e65c6e4.jpg

Bado mwendawazimu anawaza ubingwa,acha tushangilie rekodi za Rooney maana mengine yametushinda kheeeee kheeeeeee chizi haponi ila anapata nafuu tu.
 
Back
Top Bottom