Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Lazima mtoe pongezi kwa 4th official aliyeongeza dakika 5 za ziada. Zilitakiwa kuwa dakika 2 au 2.5 na mngelilia kama watoto wa chekechea.
Ata game ya Liverpool na City za leo wameongeza hizohizo dakika, Na hii game kwavyovyote vile wale stoke city walikuwa awana ubavu wa kutoka na points zote 3 so ata wangeongeza dk 1 basi baba kai angewaeka dk ya 90
 
Kwa hiyo unakiri kwamba leo ilikuwa ni kupigania sare tu na sio kushinda mechi kwa mashetani wekundu?
 
hii kauli sijui kama umeitoa kama mzazi ama kama teja tu ambae hategemei kuwa na familia hapo mbeleni, hakuna mzazi ambae anapenda kumwona mwanae wa kiume yupo hvyo.

please ushabiki usikufanye mpaka ukakutoa kuwa mzazi ambae anapenda kuona mema kwa watoto wake.

chunga kauli.

Unaijua football? Unajua utani wake?unafahamu kama football ni utamaduni ambao unajitosheleza?siku nyingine chagua netball dada angu maana uku kwetu ku-troll ni maisha yetu ya kila siku najua haujui mimi Arsenal naitwa Arse8 wala haujui kua Chelshit ni RENT BOYS na Utd ni Manure next time tafuta mchezo mwingine wa kushabikia huu utamaduni wetu wa soka una vitu vingi.
Naamini utajifunza kidogo na kesho acha kelele zako za familia maana mimi nina watoto miaka lundo hata watoto wangu hawajawahi kuiona timu yangu ikibeba kombe ila nipo naamini kwenye utamaduni huu na ninaupenda kama unataka mambo ya familia nenda kule MMU uku sisi ni FOOTBALL kwa kila kitu kuanzia kula,kunywa,kulala etc sina ugomvi na shabiki mwenzangu wa soka namtamia kama wanavyonitaia simply BACK OFF.
 
Tatizo Msimu Huu Aliyewaroga Katumia Nyota Ya Jogoo! Na Ndiyomana Liver Akiharibu na Nyinyi Munaharibu..... Mechi ijayo Munashinda Coz Liver Atamfunga Chelsea.....

Liver Hufungwa na Vibonde sio Wale Wanaojiita Big Teams Kama Chelsea! Prove Me Wrong....

8bfb56cd042b2e8b2e1396d1783cd810.jpg
Loserfoool
 
Nimerudi kuulizia wikend hii man u ametoka katikanafasi yake yakudumu amaaaa
 
Timu "viazi"? Uliza Liverpool wametendwa nini na Swansea?
Hahhahah...usiwakumbushe mkuu wnaugulia sindano tatu safi
Kwaio wanasikilizia maumivu
kuna mahal nilikua jamaa wanaume wazima wanashangilia wakajua tushafungwa na mpira unaisha..wanakata miuno
watu tumekaa kimya tu ....rooney alipoweka mpira akaonyesha kaishara flan kwa ibra kadabra ...kitu kikanyooshwa....wavuni!!
Ila nasikia refa aliyechezesha haipendi man u na hampend morinho
 
Mimi pia nasikia kama wewe kwamba " ... refa aliyechezesha haipendi man u na hampendi morinho". Na ndio sababu refa akatoa free kick badala ya penalty. Ile ilikuwa ni penalty kweli kweli. kwii kwiiii, khe kheeeeee

Ninachokiona ni mechi nyingi ambazo Man United wameshafungwa, huongezwa dakika kuanzia 5-8 za nyongeza. Hii inafanyika kimipango au kibahatinasibu?
 
Kwani zikiongezwa tano wanaokua wanacheza ni wachezaji wa man utd tu peke yake au wanakua wanacheza wote pamoja na wachezaji wa timu pinzani?!..
 
Kwani zikiongezwa tano wanaokua wanacheza ni wachezaji wa man utd tu peke yake au wanakua wanacheza wote pamoja na wachezaji wa timu pinzani?!..
Ni katika muda huo huwa wanapewa penalty , corners au freekicks za ajabu.
 
Na Ndiyo Mana Nikawa na Full Confidence Pale uliposave Post Yangu Somewhere.....
Ile ntarudi mwezi mei, bado mapambano yanaendelea, sijakata tamaa bado, kama ni kukata tamaa basi inaweza kua ya ubingwa lakini sio kumaliza juu livapool
 
Kwani zikiongezwa tano wanaokua wanacheza ni wachezaji wa man utd tu peke yake au wanakua wanacheza wote pamoja na wachezaji wa timu pinzani?!..
Wapinzani hua wanafungwa miguu wasicheze mpaka utd ishide
 
Back
Top Bottom