Leo Arsenal anamkalisha mtu
Hayo nimaneno ya kwenye kanga
Uwezo wa man u nimdogo sanaaaKati ya dakika 90 au dakika 6 na nane zipi nyingi?
Tena sanaa jiandae leo kuona soka safiKwani nakusingizia?
Uwezo wa man u nimdogo sanaaa
Miaka 3 makocha wa 3 arsenal kashinda mech mbili tu moja fa moja epl halafu unapangiwa rashfod na depay unauthubutu kwa kusema hayo?Uwezo wa man u nimdogo sanaaa
Tena sanaa jiandae leo kuona soka safi
Mkuu achana na huyo, hajui mpira analeta upenzi kidumbaki apaUwezo wa timu yako ukoje? Nina uhakika timu yako ina zaidi ya miaka 10 haijachukua Epl.
hajui hilo, asa sijui dakika 5 ni wachezaji wa Man U tu ndiyo wanabaki uwanjani. yani watu wana hoja za kijinga kweli.Kwani zikiongezwa tano wanaokua wanacheza ni wachezaji wa man utd tu peke yake au wanakua wanacheza wote pamoja na wachezaji wa timu pinzani?!..
kwahyo Arse8 ni tusi? anyway nimejifunza kitu inawezekana mazingira ya ushabiki ni tofauti, mazingira yako yanakuruhusu kuongea hilo neno na ukaonekana wa kawaida ila kwa mazingira yangu nimeona umeongea ushabiki ambao umevuka mipaka.Unaijua football? Unajua utani wake?unafahamu kama football ni utamaduni ambao unajitosheleza?siku nyingine chagua netball dada angu maana uku kwetu ku-troll ni maisha yetu ya kila siku najua haujui mimi Arsenal naitwa Arse8 wala haujui kua Chelshit ni RENT BOYS na Utd ni Manure next time tafuta mchezo mwingine wa kushabikia huu utamaduni wetu wa soka una vitu vingi.
Naamini utajifunza kidogo na kesho acha kelele zako za familia maana mimi nina watoto miaka lundo hata watoto wangu hawajawahi kuiona timu yangu ikibeba kombe ila nipo naamini kwenye utamaduni huu na ninaupenda kama unataka mambo ya familia nenda kule MMU uku sisi ni FOOTBALL kwa kila kitu kuanzia kula,kunywa,kulala etc sina ugomvi na shabiki mwenzangu wa soka namtamia kama wanavyonitaia simply BACK OFF.
Draw ni 8 sio 6Win 6th
Lose 6th
Draw 6th
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
kwahyo Arse8 ni tusi? anyway nimejifunza kitu inawezekana mazingira ya ushabiki ni tofauti, mazingira yako yanakuruhusu kuongea hilo neno na ukaonekana wa kawaida ila kwa mazingira yangu nimeona umeongea ushabiki ambao umevuka mipaka.
Mpira wa miguu sijaanza kushabikia jana aisee ..... napenda mpira na wanaojua wananijua napenda mpira uko kwingine sijawahi kupapenda hata kwa bahati.
Ndo uwezo wake ulipoishia sasaa... hakuna namna!Jamani ...kunaumhimu wa pogba kubadirika maana anapoza sana mashambulizi anapopewa pasi ...mf Jana kapewa pasi .rashiford a naomba wala hata hana haraka yani ..inabindi aongezee speed yani km hivyo tu atakuwa atakuwa anatulostisha