Tatizo Msimu Huu Aliyewaroga Katumia Nyota Ya Jogoo! Na Ndiyomana Liver Akiharibu na Nyinyi Munaharibu..... Mechi ijayo Munashinda Coz Liver Atamfunga Chelsea.....
Liver Hufungwa na Vibonde sio Wale Wanaojiita Big Teams Kama Chelsea! Prove Me Wrong....
ndugu yangu tuwe karibu siku hiyo usikimbie kama wakati wa game ya Llorente.Hongera kwa Rooney kuvunja record na pole kwa draw.Almanusura!!!...Asante Rooney!!.....GGMU
Jana umeponea chupu chupu mzee wa levo 6
Nishapoa best wanasema heri nusu shari kuliko shari kamili..... tutavuka....hongereni mnatisha mbaya!!Hongera kwa Rooney kuvunja record na pole kwa draw.
Ni kweli usemayo. Asante sana,nashukuru kwa kuona hilo kwetu.Nishapoa best wanasema heri nusu shari kuliko shari kamili..... tutavuka....hongereni mnatisha mbaya!!
kwa kweli.wasikupe shida hao waathirika wa manchester united anaangalia stoke ashinde hajui refa kanyima penat mbili analilia dakika tu hajui kuwa dakika 6 ni chache sio sawa na 90 kama umeweza kulinda goli dakika 90 unashindwaje dakika 4? mbon swansea kalinda goli zake ndani ya dakika 6 za liver? tena nyumban kwa liver stoke yupo kwake
Nadhani aliona fella anafaa kwa mpira ya kibabe kama stoke walivyo ni hesabu zimekataa lakini nimemuona mou akifanya sub nyingi chanya katika mechi kama saba zilizopita nadhani na hili amelionaSio stoke mkuu ni kocha wetu tu huwez ukamfanya fela kuwa carrick namuhurumia sana anapolazimisha nyeus kuwa nyekund hana uwezo hata wa kumuweka bastian nje anapocheza fela timu inakuwa nzito sana
Haya wale wanafiki mliokuwa mnalialia humu man utd kuongezewa 5minutes mje muendelee kubwabwaja, mmeongezewa 7mins na kupewa penati wakati huyo mchezaji yuko offside!
Wafuate jukwaa lao mkuu
Mkuu Kumbe Nyinyi Washabiki Wa Arseneight Munakuwa MunawaQuote?? Mbona Mimi Nahisi Wengi Wao ni Mental Case!!!
Du mi huwaga sipendi mkuu napenda humu kwetu balaa huwez kunikuta kwenye majukwaa ya watu mana sina nnachofaidika nacho ila wakija hapa fresh tu tunajadili sokaWafuate jukwaa lao mkuu