Mc Tilly Chizenga
JF-Expert Member
- Feb 7, 2012
- 4,641
- 3,686
Rooney ajiwekea Rekodi
Sawa umepata majibu sasaSio hamkuwa na bahati ..timu mbovuu![]()
![]()
![]()
Rudia tena swali lakoHivi man u hajafungwa mechi ya ngapi mfululizo?
Sio bahati tu na upangaji mbovu wa timu unachangia.Team imepambana sana lakini hatukuwa na Bahati
Weka na ile back anakumbatia mpira khekeheeeeView attachment 462329
Patachimbika tu khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Wazee wa kubebwa na mbeleko khe khe kheeeeeeeeeeee
Aweke na ile ya shawcross akicheza basketball katika football..Weka na ile back anakumbatia mpira khekeheeee
Mbona ujashanga dkikA 5+1 za liver vs SwanseaFull time:
Stoke city 1 vs 1 Manure
Sijajua logic ya kuongeza dakika 5.
But hongereni kwa kuondoa aibu