OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,933
- 25,245


duh hizi rekodi nyingine ni kama kua na mtoto wa kiume alafu SHOGA.
kuona tumepoteza points game ambazo tulistahili kushinda dhidi ya timu ndogo kama Stoke city, Arsenal, Liverpool, Burnley.acha kulia lia mtoto wa kiume, haya mmenyimwa penalt.......... mngeshinda basi goli la kawaida.![]()
Hivi hili pimbi huwa lina ajenda gan likichezesha mechi za MAN U,
Linakataa clear penalt kabisaa, na sio mara ya kwanza kufanya upuuzi huu,
Huwa nikimuona kwenye game zetu basi nataman hata nisiangalie
hii kauli sijui kama umeitoa kama mzazi ama kama teja tu ambae hategemei kuwa na familia hapo mbeleni, hakuna mzazi ambae anapenda kumwona mwanae wa kiume yupo hvyo.Tuna rekodi pia ya kutopoteza mechi ngapi sijuiduh hizi rekodi nyingine ni kama kua na mtoto wa kiume alafu SHOGA.
Poleni lakini hongereni pia!hii kauli sijui kama umeitoa kama mzazi ama kama teja tu ambae hategemei kuwa na familia hapo mbeleni, hakuna mzazi ambae anapenda kumwona mwanae wa kiume yupo hvyo.
please ushabiki usikufanye mpaka ukakutoa kuwa mzazi ambae anapenda kuona mema kwa watoto wake.
chunga kauli.
asante, mwanzo mgumu ila tutafika tu uko mbeleni.Poleni lakini hongereni pia!
Goli la kusawazisha hua linauma kama sindanoacha kulia lia mtoto wa kiume, haya mmenyimwa penalt.......... mngeshinda basi goli la kawaida.




Game ya 22 hii...asante, mwanzo mgumu ila tutafika tu uko mbeleni.
haijalishi ndiyo mana kuna zima moto.Game ya 22 hii...
So what? Shitty alichukua ubingwa katika dakika za lala salama....Game ya 22 hii...
Ni vizuri kuishi kwa matumaini.So what? Shitty alichukua ubingwa katika dakika za lala salama....
Lazima mtoe pongezi kwa 4th official aliyeongeza dakika 5 za ziada. Zilitakiwa kuwa dakika 2 au 2.5 na mngelilia kama watoto wa chekechea.Inasikitisha sanakuona tumepoteza points game ambazo tulistahili kushinda dhidi ya timu ndogo kama Stoke city, Arsenal, Liverpool, Burnley.
Mkuu hizi gemu 2 zimeniuma kweli (stoke & liva)
Mie pia naona kuwa yes tumekuwa undefeated lakin tumedrop points 4, sasa cha kuombea ni labda liva wafungwe na chelsea ili wawe wametupita point moja.