Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

You sound like a typical Koppite I.e. Living in history
Ukitaka mambo Ya history then Loserfools ndio madume Ya mjini 5 times UEFA champion league winners Au Nottingham Forest and even Aston villa.
Live for the moment brother. Man City leo ndio kidume Na ndio habari Ya mujini
Fergie days are history
Kwa hiyo baada ya Loserfool kuwa wasindikizaji umehamia Man City siku hizi ?

Welcome to Manchester
 
Pole mama. Ila cha ajabu sijaumia roho.
Aiseee Hata Mimi niko very positive sijaumia Hata!!!!.....sema tu ile kibinadam ukifikiri sana ila moyoni am happy so kama mechi nyingine tukishindwa ninavyokuwa najiskia Vibaya sana.
 
Baca kishanichania mkeka wangu kapigwa yeye 2&3+ mwee mpira huu
 
Morinho jitahid upigwe nje ndani na guardiola tu
Hao vilaza wengine pigaaa wew umeshindwa kumsimamisha ila wapo watakaomsimamisha
 
Back
Top Bottom