Usijali mkuu tutafidia kwa arsenal hizi point tulizopotezaMorinho jitahid upigwe nje ndani na guardiola tu
Hao ****** wengine pigaaa wew umeshindwa kumsimamisha ila wapo watakaomsimamisha
Mekumichi kweli weye....Asante dear![]()
Nipo mkuu ktk sports nimejaa tele.Siku hizi umehamia jukwaa la MMU?
Msalimie agosti8
jamaa alikuwa anakabwa na kijiji cha watu lakini still mpira haukuwa unapotea
HahaaaaaaNina wasiwasi kama wewe ni Kopite, Una sound kama mfuasi wa Wenger
Nilikwambiaje my dia?nilijua lazima mpakatwe by the way sasa tuongelee mambo ya kuchunianaAm good sasahivi nala bata tu hapa![]()
Ndio maana tuliwapa Hilo garasha na bado tunawasubiri darajani waje na kapu la magoli man u wepesi sana Jana aguero angekuepo wangepigwa goli nyingi sansPoleni sn wadau lkn ktk hii game yenu MTU Wa kwanza kubeba lawama ni Jose Mourinho. Maana mfumo na mbinu aliyoaproach kuwakabili ciyu haikua nzuri ata kidogo. Kawanyima wachezaji Uhuru wamecheza kwa tension kubwa sn....![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Kweli tupu ashajifunza lakinTumefungwa kwasababu ya lingard na miki
Msianze kufarijiana kwa maneno matupu hapa.jamaa alikuwa anakabwa na kijiji cha watu lakini still mpira haukuwa unapotea




Aiseee Hata Mimi niko very positive sijaumia Hata!!!!.....sema tu ile kibinadam ukifikiri sana ila moyoni am happy so kama mechi nyingine tukishindwa ninavyokuwa najiskia Vibaya sana.