Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

4686.jpg

Manchester United’sr Paul Pogba goes on the charge.
 
3227.jpg

Manchester City’s Claudio Bravo fumbles the ball ...
 
Ngapi ngapi jamani? Manure wanaonja loss ya kwanza au inakuwaje??
 
Tuwe wakweli hizi dk 5 zimetoka wapi? Kipindi cha 2 kilikuwa na few stoppages
 
Ila United hii hatujaiona toka mida ya Fergie, iko poa, wakoshazoea falsafa ya JM itakuwa poa zaidi.
 
Yaweza kuwa home defeat kwa mouthrinho, only 3 wins vs Pep.
 
Chaliiiiii...there goes Mourinho's 100% record. Poleni humu kwa kipigo cha kwanza msimu huu katika maeneo yenu ya kujidai AKA uwanja wa nyumbani.
 
Back
Top Bottom