Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Teh teh teh teh teh teh! Niliwaona Watu Wa Ajabu Sana Pale Mulipofurahi Kuwa Morinho Kateuliwa Kocha Wenu!!
Kwasisi Tunayemjua Mourinho Tulijua Wazi Haitafika Xmass Bali Mutaomba Atimuliwe!
Leo Mushakula 2 hizo...

Man City You Have Made My Day! Congrat.....
Acha unafki
 
Yani wewe furaha yako mpaka jirani awe na majonzi.....
 
Chaliiiiii...there goes Mourinho's 100% record. Poleni humu kwa kipigo cha kwanza msimu huu katika maeneo yenu ya kujidai AKA uwanja wa nyumbani.
Hii pole yako isingeambatana na maneno mengine ingekuwa poa sana.....
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom