McDonaldJr
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 6,386
- 7,561


Tunataka chenji yetu hii deal kama ya rada tu tumepigwa haiwezekani.


Tunataka chenji yetu hii deal kama ya rada tu tumepigwa haiwezekani.hahaha nimefikiria kuanzisha special thread ya Alaves baada ya maelezo yakoMimi ni shabiki wa kitupwa wa Barcelona na Guardiola, Man U naichukia zaidi ya navyo mchukia shetani, Guardiola kanifurahisha sana walahi....pigaaaaaaaaaa hao mwanitesa yunaotedi.....na kibabu fergie nilikiona Jana jukwaani kinatingisha kichwa tu....pigaaaaaaaaaaa hao weziiii
Nzi makazi yake ni jalalani.Nchamehe wangwe...... Ila baba Mourinho ananipa raha kaanza Refa wanaangusha Mara oooh wachezaji wanaangusha..
Tehe tehe tehe tehe.......
![]()
![]()
![]()
![]()
Wapi Nzi?
Kivp kakaNadhani hii ni wake up call kwa team yetu kufanya marekebisho.
Kivp kaka
Huo mfumo ubadilike tukikutana na city tu ila hao wengine ubakie mfumo huu uliotupa point tisa
Ubadilike kidogo kwa kuanza na holding midfielder ili kumpa nafasi Pogba, wachezaji wabaki wale wale au Tumpe majukumu na nafasi zaidi HereraKabisa.
Kile kiatu kwa becky umeshasahau?
Jana walimtafisiri vibaya, alikubali kuwa alikosea kupanga baadhi ya wachezaji, sasa akasema hawakumpa alichotaka. Japo Mou ni tabia yake yeye kujitetea ila kwa jana lawama alikubali kuzibebaIle issue ilidiliwa in the dressing room ikabaki in dressing room. Ni rumors zilizotoka, si Beckham or SAF alishasema hivyo mbele ya Press.Sisemi kwamba havikutokea. Sijawahi kumsikia SAF anasema "wachezaji wameni-disappoint, let me down" Makocha wana take accountability timu zinaposhindwa na kusifia timu inaposhinda. Mourinho alivyosema ni tofauti kaweka 50% ya blame kwake, na zilizobaki kawatwisha wachezaji wake, kitu ambacho huwezi kuzisikia kwa makocha wakubwa kama Mourinho....