mkurya org.
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 1,571
- 1,696
Loading....,,,
Waiting 4 tha match
Waiting 4 tha match
Hahahaaa, kuna watu wakorofi sana, anataka kukuharibia mood ya wikend sister?bwana hizi picha zako si kuna jukwaa lenu?
Unadhani city wana mashabiki huku bongo? Game zetu uchawi unaletwa na the kops pamoja na assnail tu.huyu anajipa tu moyo....afu ukute ni shabiki wa Arsenal.
kabisa huyu mkorofi sana.....wakati mie najiandaa kuangalia mechi ya kesho.Hahahaaa, kuna watu wakorofi sana, anataka kukuharibia mood ya wikend sister?
hata mie nimeona hilo.....Unadhani city wana mashabiki huku bongo? Game zetu uchawi unaletwa na the kops pamoja na assnail tu.
Hata kwako wewe mchezaji ni mmoja tu..!Hapo wachezaji ni wawili tu fernandinho na silva bado mechi ile wote wawili walikuwemo dakika ya 43 rashfod aliwaliza kamoja tu etihad na kesho atakuwepo
Hii sio kauli ya shabiki na mpenzi wa manchester,Kesho tunapigwa daah
Hata kwako wewe mchezaji ni mmoja tu..!
Mimi kwangu wawili kwako mmoja..!