Umepata sehemu wa kupunguzia maumivu ya Southampton?Khe khe khe khe khe khe khe khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeee
Wakulaumiwa alikuwa nani? Ivano? Terry? Matic? au Mou-domokaya?
Umepata sehemu wa kupunguzia maumivu ya Southampton?Khe khe khe khe khe khe khe khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeee
Asante Mungu kwa siku hii ya leo ambayo tuliingoja kwa hamu kwa uwezo wako tumefika,Mungu wangu sina lingine ninalohitaji zaidi ya point 3 tu,wawezeshe wachezaji wetu watumie effectively nafasi wanazopata wacheze kwa bidii zote,vile vile mpe hekima LVG apange kikosi Chake vizuri,naamini na asante kwa kuwa umeniskia na tutaendelea kukaa pale juu mpaka mwisho, watu wote waseme Amen.
#GGGMU
jamani kwa niaba ya wana chelsea tunaomba ratiba ijayo tucheze na manyua ...........
Umpigie mkono na nani ww.....tutawapiga mkono wamesha anza kuachia nafasi za watu
Mxeeeeeeeeewwww siongeagi na machizzzzzzzzzzzzz
😁+😁+😂=😂😂😂✔ excellent
Bora mie nimedraw na everton.......leo manure mna kimaviiiiii
Woyoooooooo wenga ni nomaaaaaaaaaaa....safi sana vijana wameacha kuwa mamluki
Wenger hakawii kuwaudhi kiasi cha kupaza sauti aondoke. Furaha kidogo machungu ya milele
Ntuzu naomba uje na handkerchief za kutosha mkuu...kuna watu walitukana mamba kabla ya kuvuka mto
Mambo huwa hivi pale mgonjwa mahututi anapomcheka aliyejikwaa dole gumba