Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Yaan leo hapa sibandukiii....
Nina imani na Man u...
Mungu ibariki manchester united
 
Asante Mungu kwa siku hii ya leo ambayo tuliingoja kwa hamu kwa uwezo wako tumefika,Mungu wangu sina lingine ninalohitaji zaidi ya point 3 tu,wawezeshe wachezaji wetu watumie effectively nafasi wanazopata wacheze kwa bidii zote,vile vile mpe hekima LVG apange kikosi Chake vizuri,naamini na asante kwa kuwa umeniskia na tutaendelea kukaa pale juu mpaka mwisho, watu wote waseme Amen.

#GGGMU

Teh teh teeeeh!!!
 
jamani kwa niaba ya wana chelsea tunaomba ratiba ijayo tucheze na manyua ...........
 
Back
Top Bottom