JOAQUEM
JF-Expert Member
- Jul 28, 2012
- 2,020
- 1,673
Hujamuelewa alichomaanisha...ni hivi baada ya mechi za kufuzu za Euro mtakutana na Bayern katika CL basi hawa jamaa wawili watawafanya muanze kampeni zenu za Wenger out hope umeelewa sasaMuller na Lewandoski kuhamia Man Utd ni ndoto za saa saba mchana baada ya kushiba ugali na nguru. Hahahaha eti kipigo hakijakuuma...wewe ni mtu wa kuigwa kwa namna ya kujipa moyo katika wakati mgumu. Tukutane Old Trafford sijui next year. Wasalimie kina DonDonald, Belo, RRONDO, Bulldog, mfarisayo et la ambao hawajaonekana hapa tangu dakika ya 30 ya mechi