Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Arsenal’s worst Premier League win
percentage is against ManUtd (24%).
 
Leo tutawashambulia kama kawaida,tutamiliki mpira 70%,tutakosa nafasi 8 halafu Mtatufunga 2-1

Hamna mkuu game za jumapili tunakuwaga na mkosi nazo sana, tunaweza tukashinda lakini tusi-enjoy game mda wote roho juu juu tu, nipo tayari kwa matokeo yyte yale.
#GGMU
 
Louis van Gaal has lost just one of his
five meetings with Arsene Wenger (all
comps), losing in the FA Cup last season.
 
Rooney scored his first ever Premier
League goal, his first Premier League
goal for Man Utd & his 100th Premier
League goal against Arsenal.
 
Asante Mungu kwa siku hii ya leo ambayo tuliingoja kwa hamu kwa uwezo wako tumefika,Mungu wangu sina lingine ninalohitaji zaidi ya point 3 tu,wawezeshe wachezaji wetu watumie effectively nafasi wanazopata wacheze kwa bidii zote,vile vile mpe hekima LVG apange kikosi Chake vizuri,naamini na asante kwa kuwa umeniskia na tutaendelea kukaa pale juu mpaka mwisho, watu wote waseme Amen.

#GGGMU
 
Ameeeen
 
Ameen mamaa..
 
Aaameen
 
Amini.
 
uploadfromtaptalk1443967504571.png
 
Asante Mungu kwa siku hii ya leo ambayo tuliingoja kwa hamu kwa uwezo wako tumefika,Mungu wangu sina lingine ninalohitaji zaidi ya point 3 tu,wawezeshe wachezaji wetu watumie effectively nafasi wanazopata wacheze kwa bidii zote,vile vile mpe hekima LVG apange kikosi Chake vizuri,naamini na asante kwa kuwa umeniskia na tutaendelea kukaa pale juu mpaka mwisho, watu wote waseme Amen.

#GGGMU

Eeh Mungu saidia na Depay atupiamo kamoja hadi viwili...
Ameeen
 
Back
Top Bottom