Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Morgan ndiyo anapaswa kuingia...kisha Bastian awa anasaidia mbele kule...

Toa Depay aingie Fellaini...Darmian aingie Valencia na Rooney aingie dogo Wilson...angalau timu yaweza ku-gamble kupata matokeo chanya...

Memphis ni matumizi mengine mabaya ya raslimali pesa!Huyu kaisha shindwa window ya January peleka Galatasary huko
 
Dada'ngu everlenk nakupa pole saaaaaaana, majeraha ya Jana hayajapona Leo tena kidonda kingine tena kikuuuubwaaa. Pole sana najua shosti wako cute b atakuwa anakuuguza.

Pole mama.

Jumapili jioni mara nyingi tukicheza na Arsenal mambo huwa shaghabhaghala......Hongera kwao ingekuwa enzi zile zingerudi ila sasa muujiza utokee tu.......
 
Last edited by a moderator:
Memphis ni matumizi mengine mabaya ya raslimali pesa!Huyu kaisha shindwa window ya January peleka Galatasary huko

Kwa kweli amekuwa siyo poa sana so far...lakini at least he is better than Firminho 😉
 
bora sikwenda kuangalia maana ningepiga mtu ngumi afu wanipige ndani nisipige kura mimi daaaah!!!
 
Mpo kwenye denial stage,hamuamini kuwa Man U era is OVER na hata sisi Liverpool tulikuwa hatuamini kama nyie kwenye miaka ya 90's!Man U haji kuwa bingwa wa EPL labda miaka 10 toka sasa!

Healing process ina take time,mtazoea tu

Tulia wewe acha kufananisha Utd na Liva
 
LvG ni stubborn sana...anajua kabisa kachemsha kwa upangaji wa CMs...lakini analeta kiburi kufanya sub..
 
Back
Top Bottom