Jamaa ana rula mguuni.ok hizi pasi za Ozil a.k.a za ki-DHL ni janga la man u khaa kama anazipiga kwa mikono
Mesut Ozil 11 a.k.a MO11
Leo hapa kidodoro lazma kichezekeeee....
Tumebana tumeachiaaa....tatu bila tatu bilaaa....
Tumebana tumeachiaaa eeeh eeeh eeeh...
Kupata wimbo wa man u wa TATU BILA tuma neno WENGER kwenda namba 15001
Dih! wenyeji wamekula kona humu hayari.
KWA HESHIMA NA TAADHIMA NAOMBA KWA DHATI KABISA NIWAPE POLE KUTOKA KATIKA SAKAFU YA UVUNGU WA MOYO WANGU WAFIWA WOTE HUMU. Tuko pamoja, ktk shida na raha, ndo maisha yalivyo, msihofu.
maana stori ilikuwa, oooh sijui Martial, mara depay sijui mara nani, hatimaye mmewekwa mnapostahili.
Bora ukae kimya tu uchambuzi unaotoa hauna mashiko
3-0
Usiniletee hasira mm mwandikie kweye tweeter yake Sanchez na Ozil
Hii team yenu haikucheza na yyt wa maana na leo wame waonyesha kama hamna kitu hapo
kama timu inayoshika nafasi ya 3 haina kitu je inayoshika nafasi ya 10 inakuwaje?
Asante Mungu kwa siku hii ya leo ambayo tuliingoja kwa hamu kwa uwezo wako tumefika,Mungu wangu sina lingine ninalohitaji zaidi ya point 3 tu,wawezeshe wachezaji wetu watumie effectively nafasi wanazopata wacheze kwa bidii zote,vile vile mpe hekima LVG apange kikosi Chake vizuri,naamini na asante kwa kuwa umeniskia na tutaendelea kukaa pale juu mpaka mwisho, watu wote waseme Amen.
#GGGMU
3-0
Hii team yenu haikucheza na yyt wa maana na leo wame waonyesha kama hamna kitu hapo
Sisi tumekubali hatuna ntantalinta nyingi kama kina fulani leo mkono wa Wenger umekuwa ni mzito kwetu full stop, haya karibuni tufunge turubai ,wapi Spika wapi Mic leo ni kigodoro tu mpka kunakuchaaaaaaaaa!!!!!! cute b Dj wetu tutatisha picha nzuri nzuri sawa Mae ni dundo mpka kunakucha na wasivyotupenda najua kigodoro hiki kitaenda wiki nzima.
LVG ameuza mecha kwnni awatumie mawinger km mabek n beck zipo afu huyo rooney amefunga nae ndoa kwnn asimuanzishe wilson