Manchester United (Red Devils) | Special Thread

12122709_907450356000019_6051844487361265042_n.jpg
 
mmekaa juu ya msimamo kwa wiki moja tu ummeongeeea mtafikiri ndio mmeshabeba ubingwa!' manina.
 
Ndio nimezinduka saa hizi jamani, mechi iliishaje?? LvG hujatutendea haki kabsa, tutaweka wapi sura zetu. Atleast kutimuliwa kwa Rodgers kutapunguza sisi kusemwa. #GGMU
 
Asante Mungu kwa siku hii ya leo ambayo tuliingoja kwa hamu kwa uwezo wako tumefika,Mungu wangu sina lingine ninalohitaji zaidi ya point 3 tu,wawezeshe wachezaji wetu watumie effectively nafasi wanazopata wacheze kwa bidii zote,vile vile mpe hekima LVG apange kikosi Chake vizuri,naamini na asante kwa kuwa umeniskia na tutaendelea kukaa pale juu mpaka mwisho, watu wote waseme Amen.

#GGGMU

Wenzako wa Arsenal FC walikuwa wameshaombea mechi siku tatu kabla. Ntuzu na Mentor naomba mje kumfariji binti huyu...
 
Last edited by a moderator:

Thx Mkuu Gwamahala
everlenk pole sn my dear....... Haya ni mapito tu

Wengine tumeshazoea na tulikua tunasubiri taarifa ya bodi ya timu kuhusu mustakabali wa kocha wetu kipenzi José Mourinho...

Ligi ni ngumu na vita vya msimu huu si mchezo....
Ila nafikiri kiasi Fulani Mashabiki wa Man Utd midomo itapungua maana mlishajifanya nyie ndio mabingwa.

Cc RRONDO
 
Last edited by a moderator:
RRONDO na Nzi niliwambia Wenger atawafunga mkaanza kuniita majina mara Mimi shekhe Yahaya.... Nafikiri mpk sasa hamna la kusema... Na bado Wenger ataenda kuifunga Munich Ujerumani.... Asiposhinda uje hapa unikumbushe
 
Last edited by a moderator:
Thx Mkuu Gwamahala
everlenk pole sn my dear....... Haya ni mapito tu

Wengine tumeshazoea na tulikua tunasubiri taarifa ya bodi ya timu kuhusu mustakabali wa kocha wetu kipenzi José Mourinho...

Ligi ni ngumu na vita vya msimu huu si mchezo....
Ila nafikiri kiasi Fulani Mashabiki wa Man Utd midomo itapungua maana mlishajifanya nyie ndio mabingwa.

Cc RRONDO

Sisi Brendan Rodgers tumeshampa mabegi yake tayari...hopefully atakuja Klopp or Ancelot.
Mkuu ila Mourinho ni kocha mzuri, mpeni muda tu.
 
Last edited by a moderator:
Sisi Brendan Rodgers tumeshampa mabegi yake tayari...hopefully atakuja Klopp or Ancelot.
Mkuu ila Mourinho ni kocha mzuri, mpeni muda tu.

Huyo Kloop au Ancelotti ni makocha wazuri sn atakaekuja yoyote atawasaidia....

Mourinho kapewa muda tayari...... Kibarau chake mpk sasa kiko vzr
 
mmekaa juu ya msimamo kwa wiki moja tu ummeongeeea mtafikiri ndio mmeshabeba ubingwa!' manina.

Yaani wewe hustahili kuwa jukwaa hili...hivi huwezi kuchangia bila kutukana? Maana wewe posts zako karibu zote ni matusi tu.

Wewe jamaa wa wapi? 😡😡

Hivi nani ni moderator wa jukwaa hili amshughulikie huyu mamluki?
 
Mentor et al. Kiukweli hiki kipigo hakijaniumiza....hadi nashangaa kwanini sijaumia...lakini sababu ni moja tu...nikilinganisha na msimu chini ya DM na msimu uliopita, naona mwanga mbele...timu ipo vizuri zaidi ya misimu miwili iliyopita...leo ilikuwa ajali kazini...

Angalau Gooners wasitishe kwa muda kampeni yao ya #WengerOut najua baada ya international break....Müller na Lewandoski lazima airudishe tena kampeni...

Cc: rubaman kashengo na hata Balantanda ambaye leo kafufuka😳
 
Last edited by a moderator:
Van Girl is nothing., tumemkata mdomo et Martial mchezaji wa football hawez kuwa na jina la kike
 
Wenzako wa Arsenal FC walikuwa wameshaombea mechi siku tatu kabla. Ntuzu na Mentor naomba mje kumfariji binti huyu...

mmekaa juu ya msimamo kwa wiki moja tu ummeongeeea mtafikiri ndio mmeshabeba ubingwa!' manina.

Eti Martial uyo Van Girl na mwenyewe ana jina la kike, mmetumia £250x2 makeke kibaoo kumbe mko laini kama pamba
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaa wenger ni noma mkuu...
Ndani ya dkk 19 vitatu duuh...
Mimi ni man u ila mbinu ya wenger nimeikubal

We hop u join Arsenal soon., ondoa izo pressure za man uu, £250x2 team yenu haina mvuto, mnanunua wachezaj bei kubwa ambao hamwez kuwatumia badala yk mnauza kw bei ya chini, Poor Van Gorl
 
Mentor et al. Kiukweli hiki kipigo hakijaniumiza....hadi nashangaa kwanini sijaumia...lakini sababu ni moja tu...nikilinganisha na msimu chini ya DM na msimu uliopita, naona mwanga mbele...timu ipo vizuri zaidi ya misimu miwili iliyopita...leo ilikuwa ajali kazini...

Angalau Gooners wasitishe kwa muda kampeni yao ya #WengerOut najua baada ya international break....Müller na Lewandoski lazima airudishe tena kampeni...

Cc: rubaman kashengo na hata Balantanda ambaye leo kafufuka

Muller na Lewandoski kuhamia Man Utd ni ndoto za saa saba mchana baada ya kushiba ugali na nguru. Hahahaha eti kipigo hakijakuuma...wewe ni mtu wa kuigwa kwa namna ya kujipa moyo katika wakati mgumu. Tukutane Old Trafford sijui next year. Wasalimie kina DonDonald, Belo, RRONDO, Bulldog, mfarisayo et la ambao hawajaonekana hapa tangu dakika ya 30 ya mechi
 
We hop u join Arsenal soon., ondoa izo pressure za man uu, £250x2 team yenu haina mvuto, mnanunua wachezaj bei kubwa ambao hamwez kuwatumia badala yk mnauza kw bei ya chini, Poor Van Gorl

Never Ever sintokaa nihame man u niende arsenal...
Ila mimi siku zote huwa naiwazia arsenal mema ikicheza na timu nyingine ila kuhamia bado sanw
 
Muller na Lewandoski kuhamia Man Utd ni ndoto za saa saba mchana baada ya kushiba ugali na nguru. Hahahaha eti kipigo hakijakuuma...wewe ni mtu wa kuigwa kwa namna ya kujipa moyo katika wakati mgumu. Tukutane Old Trafford sijui next year. Wasalimie kina DonDonald, Belo, RRONDO, Bulldog, mfarisayo et la ambao hawajaonekana hapa tangu dakika ya 30 ya mechi

Mkuu hujaelewa vizuri post yake nahisi furaha imekuzidi sana hadi unashindwa kusoma post kwa ufasaha maana arsenal kuifunga man ni zaidi ya ubingwa. BTW hongereni sana.
 
Back
Top Bottom