Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Depay ni shida sana. Kuna haja ya Valencia kuingia mapema nafasi ya Darmian leo hayupo sawa kabisa

Mkuu Darmian sio wa kumtoa...

Mpeleke kushoto kisha Valencia acheze kulia

Otherwise, this game is going for a worse
 
Van Gaal mda mwngine hajielewi, unampangaje Young beki namba 3 kwa mechi km hii???

Kwanin asimpeleke Blind kushoto katikati Smalling akacheza na P. Jones
 
Depay ni shida sana. Kuna haja ya Valencia kuingia mapema nafasi ya Darmian leo hayupo sawa kabisa
Shida sio Darmian bali mediocre kocha wenu
Arsenal wana vijana na watu wa speed kama Coquellin,Carzola na Ozil LKN eti ndiyo wapambane na vikongwe wenu akina Swains na Carrick ambao wote ni 30 +

Muweke Herrea na Schne vijana hawa waruke na vijana wenzao!Miaka 3 ya LVG inisha hivi hivi Man U
 
Man U kiungo kimekufa kabisa, beki zimejikuta kwenye tension kubwa wakati wote. Fellain kuwa bench mechi kama hii ni pengo. Man U leo ajitahidi kuyapunguza tu maana hata akifungwa 5-1 leo atakuwa amejitahidi.
 
Shida sio Darmian bali mediocre kocha wenu
Arsenal wana vijana na watu wa speed kama Coquellin,Carzola na Ozil LKN eti ndiyo wapambane na vikongwe wenu akina Swains na Carrick ambao wote ni 30 +

Muweke Herrea na Schne vijana hawa waruke na vijana wenzao!Miaka 3 ya LVG inisha hivi hivi Man U

Herrera yupo na injury....hapo ni Morgan kuingia...na sijaelewa kivipi utawapanga Carrick na Bastian katika game ambayo ni ya spidi...Morgan angebidi aanze na mmojawapo...

Najua unafarijika sana kwa matokeo yalivyo...unapata nafasi ya kuondoa stress za Loserfools...

Endelea kuwa nasi ili ufarijike zaidi chifu...
 
Man u kiungo kimekufa kabisa, Fellain kuwa bench mechi kama hii ni pengo. ManU leo ajitahidi kuyapunguza tu maana hata akifungwa 5-1 leo atakuwa amejitahidi.

Morgan ndiyo anapaswa kuingia...kisha Bastian awa anasaidia mbele kule...

Toa Depay aingie Fellaini...Darmian aingie Valencia na Rooney aingie dogo Wilson...angalau timu yaweza ku-gamble kupata matokeo chanya...
 
Well played arsenal l, you deserve the result so far
 
Hali imeshachafuka umu mmh lakini hatuna budi kuheshimu sheria za football kwa kukubali matokeo yoyote yale ata yakiwa machungu kumeza tufumbe matcho tu tumeze
 
Back
Top Bottom