Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Poleni sana shida mnamatarajio makubwa kuliko uhalisia wa team yenu

Hata pasipo matarajio yeyote, timu haichezi vizuri mzee kwa miaka yote hii ya tabu...

Tena hii ya Carrick msimu huu ndio imekuwa hovyo kama ile ya Amorin...

Msimu huu watu watakuwa wanajipigia kama kuchota togwa la ngomani...
 
Usajili mlioufanya kwa sisi ambao tunajua mpira ulionesha kabisa hampo kwa ajili ya kushindana lakini cha ajabu mashabiki wenu wakawa wanajiweka kwenye kuchukua ubingwa niliandika humu siwaoni hata big 4 nikawa nashanbuliwa ile mabaya na niliwapa hadi facts kabisa kwanini siwaoni mkiingia big 4 lakini mkanipinga na mkawa wabishi Sasa hivi mafuta na maji yameanza kujitenga.
 
Back
Top Bottom