Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Screenshot_20260224_010032_FotMob.jpg
 
Nyumbu Jana mlicheza low block ya kiwango cha juu Sana.
Yaani mliamua tu mkae nyuma ya mpira mechi iishe😅
 
Mashetani wekundu wa Old Traford ebu toeni hisia zenu hapa
Tarehe moja machi tunacheza na Wapiga mizinga wa Emirate
Wewe uko upande gani?
1771943622447.png
 
Kwamba huchezi wiki mbili, wiki ya tatu unacheza na mchovu unabagazwa hadi unajuta
 
Back
Top Bottom