mkorea
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 8,694
- 19,545
Mzee baba Leo nyumbu anakazaMkipigwa chini ya 5 naomba nigawe vocha kwa yeyote atakayetaka
Mzee baba Leo nyumbu anakazaMkipigwa chini ya 5 naomba nigawe vocha kwa yeyote atakayetaka
Sisi nyumbu tunacheza na nani kwani?Mzee baba Leo nyumbu anakaza
City ana hasira wanamuita mzee tupatupa unadhani ana muda wa kusubiri kukaziwa?Mzee baba Leo nyumbu anakaza
Amka toka usingiziniFull time Man u 2 man city 2