Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Siku hizi kumaliza mechi ya Man United dakika 90 bila kutukana imekuwa kitu kigumu sana
FB_IMG_1748125000986.jpg
 
Kuicheka man u, unapata dhambi ni kama vile kumcheka kiwete ama mgonjwa wa ngoma..
Tuwakumbuke katila sala zetu 🤣😂
 
Lisandro Martinez anabwabwaja tu huko kama shabiki na siyo mchezaji.

Kenge kabisa
 
Mashabiki walidai wakianza msimu na Carrick wananyanyua ndoo.

Hata mechi 10 hazijachezwa wachezaji wanaongea hovyo kwenye media.
 
Back
Top Bottom