Guacamole
JF-Expert Member
- Mar 19, 2019
- 6,220
- 16,452
Nani auze timu😂Ndugu zangu kunazo Habari zinanifurahisha sana toka Pale viunga vya OT japo sijazipata kwenye source's za kuaminika. sana kuwa "Baadhi ya wana Familia wa Glazer wameomba kuuza shea zao za umiliki wa timu huku wakiwashawishi na wenzao ambao hawajapata shahuku ya kuuza Shea zao waziuze".
Vp kuna mtu yeyote pia kaona hii habari?..?