King faisal
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 2,345
- 6,072
Shida sio mvuto, kama unakumbuka alichosema amorim kwamba tunatakiwa kusajili mchezaji anayependa kuchezea Mun fc. Hivyo sijui kwa hiki kipindi cha Carrick hawa glineos kama wataendelea na hii falsafa.Bado hatujaanza kuwa na mvuto sokoni tu!