Sisi ligi tulishamaliza tumekuachia wew na city tuYaani hamjiamini hadi mmekimbia na mnaongoza
Vipi bado unaiona nafasi pale juu ?🤣Sisi ligi tulishamaliza tumekuachia wew na city tu
Hilo linajulikana. HongereniSisi ligi tulishamaliza tumekuachia wew na city tu
United itabeba ubingwa kabla ya asenoVipi bado unaiona nafasi pale juu ?🤣
Nipo PSG kwa mkopo.
Jau sanaHii mechi msipokazwa, cjui 😂
Hii mechi msipokazwa, cjui 😂
Team iko too dependent kwa kasemiro, akikosekana ni chaos, watafute replacement else uefa itakuwa ni aibuHii tumu bado inahitaji kusukwa na kuongeza wachezaji. Na hilo ni pengo la Casemiro, msimu ujao kazi tunayo.