The Anfield
JF-Expert Member
- Dec 15, 2025
- 247
- 285
Duuh braza km upo hotelini unaagiza misosi, lete kuku2, chips zege 2, kongoro2, juice 1, soda 2...Nasubiria kuona tutafanya sajili gani June.
Lakini watuletee winger Moja, striker 1, viungo wawili, na beki 2.
Sasa vyote hivyo bila kocha pia wakuwaunganisha kazi Bure, Km hizo tetesi ni kweli mnataka Luis Henrique wa Psg, Zidane, Maresca nk atawafaa asipoingiliwa na bodi, ila Kwa Zidane binafsi namuonaga km mbahatishaji hivi..