Timu inayopambania ubingwa siyo ajabu kuwa na wachezaji wanaokaribiana uwezo kwenye nafasi moja.Sasa mlimchukua aje kuwa sub😃
Patrick Udorgu😃😃Timu inayopambania ubingwa siyo ajabu kuwa na wachezaji wanaokaribiana uwezo kwenye nafasi moja.
Mfano sisi unaweza kumtoa Calafiori akaingia Hincapie, nyinyi mkimtoa Shaw nani anaingia?
Kikosi kipaana mnacho cha kushinda UEFA mjitaid basi wakuu Aston villa kawaacha kabisa hapo master UnaiTimu inayopambania ubingwa siyo ajabu kuwa na wachezaji wanaokaribiana uwezo kwenye nafasi moja.
Mfano sisi unaweza kumtoa Calafiori akaingia Hincapie, nyinyi mkimtoa Shaw nani anaingia?
Usitufokee red starsKikosi kipaana mnacho cha kushinda UEFA mjitaid basi wakuu Aston villa kawaacha kabisa hapo master Unai
Hapo sijamzungumzia Nottingham bado😃
Hivi mpo uefa?Kikosi kipaana mnacho cha kushinda UEFA mjitaid basi wakuu Aston villa kawaacha kabisa hapo master Unai
Hapo sijamzungumzia Nottingham bado😃
Eeh tupo na campaign ya point moja kwa game next stop ni madridHivi mpo uefa?