Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Guardiola alifanya kosa kubwa sana kuwaruhusu wachezaji wake wakalewe na kugonga mademu.

Hii inanikumbusha wayback school days mara nyingi nilikuwa nikishafanya mitihani nakuwa najiona nimeshamaliza Kila kitu ukija kuambiwa Kuna class unaona muchosho tu .

City alishamaliza shule wiki iliyopita na mtihani wa mwisho, sherehe ya graduation wakafanya Leo unawaambia Kuna mwalimu wa maths ana kipindi unategemea nini.
 
Mna
Guardiola alifanya kosa kubwa sana kuwaruhusu wachezaji wake wakalewe na kugonga mademu.

Hii inanikumbusha wayback school days mara nyingi nilikuwa nikishafanya mitihani nakuwa najiona nimeshamaliza Kila kitu ukija kuambiwa Kuna class unaona muchosho tu .
Mnajiteteaje. Kwa kufanya master bastion mech bado dkk 45
 
Si mnajua lazima mshinde ili muende ulaya? Pambaneni sana manyumbu nyie.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ndugu zetu wa Arsenyo endeleeni kutuombea, maana bila ya dua zenu hatuwezi fika popote.
Wakati mkiendelea kutuombea msisahau pia kuyakemea mapepo machafu maana hizi dakika 45 za kipindi cha pili ibilisi hua hachezi mbali.
1716648699559.jpg
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ndugu zetu wa Arsenyo endeleeni kutuombea, maana bila ya dua zenu hatuwezi fika popote.
Wakati mkiendelea kutuombea msisahau pia kuyakemea mapepo machafu maana hizi dakika 45 za kipindi cha pili ibilisi hua hachezi mbali. View attachment 2999239
Hao dada zenu Man115ster City bila kubebwa na kuhonga marefa hawana lolote. Bahati mbaya kwao ni kuwa nyie mnapendwa zaidi yao na marefa, mnabebwa zaidi yao na marefa na mnahonga zaidi yao.
 
Back
Top Bottom