El Tiger
Senior Member
- Aug 15, 2018
- 142
- 785
GASPERINI Project ya timu kama CHELSEA Itamfaa zaidi kwa sababu ya aina ya Wachezaji walionao. UTD Nadhani kiasili Nyota wake wengi wamekuwa ni WINGS, Nafasi ambayo kwa GASPERINI Haitumii kabisa.vp, anafaa kwenye viunga vya OT?..?
Nje ya ETH, kama UTD inaangalia zaidi Mwalimu hakuna Perfect Fit zaidi ya KLOPP ila Haiwezekani. Chaguo Bora kwa aina ya Mpira wa UTD 'TRANSITION' ni Sebastian Hoeness maana anatumia Classic 4~4~2 ya Kushambulia kama UTD ya Miaka Yote na wanatumia Muda mchache sana kufika Goli la Mpinzani.