Mambo ya 50/50 binafsi mnitoe siyatakiiii

Mambo ya 50/50 binafsi mnitoe siyatakiiii

Ila ukubaliane sitaki kupelekeshwa..
Hao beggars mnawacontrol mnavyotaka coz mnawapa vi 20 na vi 50 vyenu vya masimango not me..!! 😹😹😹
Wanawake wa aina kama yako ni rahisi kupata mafanikio kwa pamoja kama couple na mnakuwa na positive mindset ya kimaendeleo sio hawa kila siku yeye ni ombaomba hakuna siku atakushauri Mambo ya kimaendeleo, kuhusu suala la kupelekeshwa nakuambia utapelekeshwa tu ukipewa mkimpata mwanaume sahihi na mwenye upendo wa dhati lakini kupelekeshwa huko haiwezi kuwa sawa kama hawa wanawake wengine
 
Alikua ana madeni ikiwemo kazini.
Akanihadithia chanzo cha madeni ni mshahara wake hautoshi sababu analipa mkopo aliouchukua huko nyuma 35M

Nikamuuliza uliufanyia nini akaniambia aligawanya nusu kwa nusu na ex gf wake
Hela yake yeye akamlipia ada mdogo wake nyingine akanunua gari.

Binafsi niliona hanifahi! Kama anakopa pesa kwa ajili ya kumfurahisha mwanamke na kununua gari
Hapa ephen_ umetupanga hakuna mwanaume yoyote timamu ambaye anaweza kukuambia Mambo ya ndani kama sisi ni wasiri mno kama wewe sio mke wake kukuelezea kipato chake na matumizi yake hasa Hilo la kusema alimgawia gf ni ngumu ku admit
 
Mpambano mkali....
Mwanaume asimamie katika majukumu yake yote kama baba.
Mwanamke atasaidia au kutoa panapostahili.

Shida yenu sasa hivi wote mnaviziana,,,, na shida kubwa zaidi ndoa zenu sio za kujenga familia.
Ndoa kuoa familia yenye uwezo ili upate connection sijui bi dada ana kazi nzuri ataniunga au ataendesha familia.
Hakuna hiyo kitu.

Dada aolewe na tajiri sijui loyal family au kijana kajipata tayari.......
Siku ya ndoa anapiga hesabu hapa miaka mitano ya ndoa tayari Nina ghorofa na biashara china.
Badilikeni kwanza wote
Hapa mama umeupiga mwingi mpaka unamwagika hata Mungu akiona hili anafarijika anasema sijakuleta kwa bahati mbaya wanawake kama nyie mnapepo yenu ndio mnahitajika kwenye ndoa
 
Kitonga? Thubutuuu!! 😹😹😹
Tena sisi ndio wabishi hata kutoa penzi. Mpaka tujisikie sisi sio wao kisa tu jogoo anawika..!!

Yaani kumiliki wanawake vigego ni ngumu tofauti na nyie mnaopenda kulipiwa bills mahi 😹😹😹

Nyie wanawajua wakiwaingizia pesa ya salon chop chop mnaloa. Unaanza “Baby i miss you” 😹
Dah nimecheka sana 🤣
 
🤣🤣🤣 Walivyo waajabu Sasa Mtoto wake wakiume akiwa na mwanamke halafu huyo mwanamke akawa ana mchuna huyo kijana Huwa wana kasirika sana ila wao kuwafanya hivyo watoto wa watu it's okay but wakifanyiwa watoto wao Tayari inaibuka vita

Wanawake ni viumbe wabinafsi Sana
Wanawake wa namna hii wanamchango mdogo wa Taifa na wengi wao huwa ni rahisi kukucheat
 
Kumbe 50/50 inaingia kwenye mwanamke kufanya kazi! kwa maana ilitakiwa mwanamke asisome wala asifanye kazi, hapana mnakosea mwanamke kupata elimu ni HAKI yake na mwanamke kufanya kazi ni HAKI yake pia, mwanamke kuolewa ni HAKI yake na kulea watoto na mume wake ni WAJIBU wake, mwanaume kutunza familia ni WAJIBU wake bila kuangalia nini mkewe anaingiza, siku akikwama mke atamboost lakini sio mke na mume mkae mezani muanze kugawana majukumu ya kutunza familia, hapana huo ni ukandamizaji wa mwanamke abebe mimba, azae kwa uchungu na bado alipie majukumu ya familia, HAPANAAAAAA
Kwa aina ya mindset yako salama yako ni kuwa na mwanaume mwenye kipato kikubwa ambaye angalau mshahara wake ni 3M+ au mfanyabiashara mwenye kipato kikubwa ambao kiuhalisia wapo wachache na wengi wao ni waume za watu au wanafamilia
 
Guys kuna raha kua Mwanamke na raha ya Mwanamke kuhudumiwa,
acheni sasa niwaambie mimi ni yule mwanamke hata nikipata mshahara sasa hivi, bado nitapiga simu kwa kaka zangu (wananipenda sana lastborn wao) wanitumie hela ya chips au icecream,
Siwezi kwenda lunch na kuna wanaume halafu mimi nilipe bill hata kama ni yangu, hapana nitatulia tuliii wanaume walipie,😐

Kuna siku ilikua lunch na co-workers sasa bill ilivyofika mdada mmoja naona anafungua wallet weeh acha nimpige kofi la bega, akashtuka nikamwambia "tulia ufurahie uanamke wako" akacheka akaweka wallet chini,🙃

Tukija nyumbani ndio kabisaaaa siwezi kubeba majukumu ya kununua chakula na kulipa bills, nope! labda kununua vitu vidogo vidogo kama chumvi na viberiti au snacks zangu, lol

Haya mambo ya 50/50 yaishie kwenye mabiashara hukooo ila kwenye mahusiano hapana jamani kila mtu asimamie majukumu yake yanayomuhusu, mimi jukumu langu ni kuleta utulivu, nuru na amani nyumbani,
Mtauliza sasa wewe mshahara wako unaufanyia nini sawa nitajibu, nanunua vitu vidogo vidogo kama mapambo ya ndani, kufix issues ndogo ndogo zitakazojitokeza na kuspend kwenye mambo yangu,🥰 wanawake tuna vitu vingi jamani na pesa kwetu haijawahi kutosha,😂

Ewe mwanamke unayejiita mwanamke wa shoka, unayevuja jasho na damu ili kuhudumia familia kwanza nakupongeza sana ila kama ukipata nafasi ya kufanyiwa jiachie ufanyiwe, Mwanamke ni pambo la dunia, kaumbiwa kutunzwa, kudekezwa, kupendwa, kubembelezwa, mwanamke anatakiwa awe laini laini sio wanaume wapo wewe mwanamke unabeba ngazi unaparamia ukuta kuweka umeme au unapanda kwenye stuli kufunga kamba za nguo jamani mtakuja kutenguka nyonga mshindwe kutoa raha kwa my zenu,🙄

Binafsi hizo 50/50 zenu pelekeni hukoooooooo mimi ni old school naelewa uanamke wangu unathamani kiasi gani.
Tchaooooo
Njoo nikuweke ndani
 
Wanaume wote duniani akili na tabia zenu mnafanana?
Ni kweli mindset zetu hazifanani lakini Kuna vitu tunashabiana ila kwa Hilo jambo ni ngumu kufanya kosa la kiufundi kiasi hicho labda awe anashida ya akili ni sawa na wewe uwe umecheat alafu umwambie bwana au mme wako nimekucheat
 
😹😹😹 Nitaileta sababu mimi nataka sio kwasababu wewe unaitaka kwa kufidia pesa zako..!!
Ndio nyie mkipewa kwa stress za vizinga mpk mnawachana cumer mademu zenu..!!
Wewe umekosa aina fulani mwanaume mwenye mamlaka na ambaye mkomavu kiakili ambaye anajua jinsi ya kuishi vizuri na mwanamke ukimpata mwanaume wa aina hii simu yake moja tu unajileta mwenyewe haijalishi una upwiru au hauna wanawake wa aina yako walikuwa na mawazo kama yako bindi walivyopata aina ya Wanaume walichange
 
J
Umesahau kwamba Jf Kila mtu ana standard Kila mtu tajiri Kila mtu anakula KFC Kila mtu ana nyumba Kali na ana gari Kali

Kwa ground waweza kukuta hata huyo mwanaume tu wa kumjulia Hali asubuhi mchana na usiku Hana 🤣🤣😄
Mwamba hii paragraph ya mwisho umeua dah! Nimecheka mpaka nimepaliwa 🤣
 
Mbona nimeshasema huko juu, mwanamke ana vitu vingi sana na pesa haijawahi kutosha, kila kiungo cha mwanamke kina gharama kinatakiwa kigharamiwe kuanzia nywele hadi nyayo, suala la kununua vitu vya ndani, kulipa bills na ada za watoto ni vya mwanaume kama unataka heshima lakini kama unataka wote muwe makambale ndani baba ndevu mama ndevu basi gawaneni hizo huduma, ndio maana tunaona ndoa nyingi sasa hivi watu wanaishi kwa mashindano.
Hayo ni mawazo yako. Mwanaume nae ana mawazo yake, na hakuna mwanaume anaejielewa atakubali kulipa kila kitu wakati mkewe anatoka asubuhi kwenda kazini na pesa yake haionekani ndani ya nyumba. Haya ni maujinga tu mnalishana mitamdaoni lakini kwenye uhalisia bill utachangia na hakuna ambacho utafanya
 
Back
Top Bottom