hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,396
- 80,358
😄😄😄Mwamba hii paragraph ya mwisho umeua dah! Nimecheka mpaka nimepaliwa 🤣
😄😄😄Mwamba hii paragraph ya mwisho umeua dah! Nimecheka mpaka nimepaliwa 🤣
Sasa mkuu hata nikiamini ni billionaire nitafanya nini? Haibadili kitu😁Hapo unajaribiwa wewe unaamini yupo chini ya dollar moja?
Njoo nikulipe basi uwe unanijulia hali tu😁J
Umesahau kwamba Jf Kila mtu ana standard Kila mtu tajiri Kila mtu anakula KFC Kila mtu ana nyumba Kali na ana gari Kali
Kwa ground waweza kukuta hata huyo mwanaume tu wa kumjulia Hali asubuhi mchana na usiku Hana 🤣🤣😄
Mkuu Kuna shida kwan!?Aisee.
Hii biashara Ilibaki kidogo iuwe ndoa yangu ya miaka kumi iliyopitaKazi kufanya ni lazima sababu nina watu na mimi wananipiga vizinga ila hela yangu naitaka na yako naitaka pia.
Ukikwama tutatumia zangu ila ukiinuka tena lazima nikupige vizinga nirudishe hela zangu.
Hiyo ndoa bado ipo au imekufa?Hii biashara Ilibaki kidogo iuwe ndoa yangu ya miaka kumi iliyopita
Unajua nini sipendi viwavi Jeshi maishani
Ila niungame tuHiyo ndoa bado ipo au imekufa?
Nini kilitokea kwani?Ila niungame tu
Bado inalegalega toka yaliyitokea nipo kama mti wa pasheni bila sapota hautoboi
Toka hisia zangu za huruma zimetumiwa vibaya niko kama kasongo on mode
Sichelewi kuparura ntu🤭
Nini kilitokea kwani?
Alikufanyaje
Una mdomo sana!Hebu jishikie bibie
Naanzaje kujimwaya humu vitu vinatia simanzi hata kwa ID fake unajikuta kama umejitaja 🤭
Ukitaka kujua zaidi na wewe olewa ndio Utajua kiwango cha Gubu langu mwanaume.!
SawaUna mdomo sana!
[emoji23][emoji23][emoji23]Unalipiwa lunch na co-workers wako wa kiume kisa wewe ni mwanamke?! Hapo lazima kuna kitu utakuwa unawapa au wanategemea kutoka kwako, haiwezi kuwa hivi hivi tu au labda ni simps.
Naomba namba yako, nikutumie muamala wa pole ya kuandika uzi mrefu. Ofa hii itakuwa hewani kwa masaa matatu tuu. Zaidi ya hapo lazima uikatikie mauno.Guys kuna raha kua Mwanamke na raha ya Mwanamke kuhudumiwa,
acheni sasa niwaambie mimi ni yule mwanamke hata nikipata mshahara sasa hivi, bado nitapiga simu kwa kaka zangu (wananipenda sana lastborn wao) wanitumie hela ya chips au icecream,
Siwezi kwenda lunch na kuna wanaume halafu mimi nilipe bill hata kama ni yangu, hapana nitatulia tuliii wanaume walipie,😐
Kuna siku ilikua lunch na co-workers sasa bill ilivyofika mdada mmoja naona anafungua wallet weeh acha nimpige kofi la bega, akashtuka nikamwambia "tulia ufurahie uanamke wako" akacheka akaweka wallet chini,🙃
Tukija nyumbani ndio kabisaaaa siwezi kubeba majukumu ya kununua chakula na kulipa bills, nope! labda kununua vitu vidogo vidogo kama chumvi na viberiti au snacks zangu, lol
Haya mambo ya 50/50 yaishie kwenye mabiashara hukooo ila kwenye mahusiano hapana jamani kila mtu asimamie majukumu yake yanayomuhusu, mimi jukumu langu ni kuleta utulivu, nuru na amani nyumbani,
Mtauliza sasa wewe mshahara wako unaufanyia nini sawa nitajibu, nanunua vitu vidogo vidogo kama mapambo ya ndani, kufix issues ndogo ndogo zitakazojitokeza na kuspend kwenye mambo yangu,🥰 wanawake tuna vitu vingi jamani na pesa kwetu haijawahi kutosha,😂
Ewe mwanamke unayejiita mwanamke wa shoka, unayevuja jasho na damu ili kuhudumia familia kwanza nakupongeza sana ila kama ukipata nafasi ya kufanyiwa jiachie ufanyiwe, Mwanamke ni pambo la dunia, kaumbiwa kutunzwa, kudekezwa, kupendwa, kubembelezwa, mwanamke anatakiwa awe laini laini sio wanaume wapo wewe mwanamke unabeba ngazi unaparamia ukuta kuweka umeme au unapanda kwenye stuli kufunga kamba za nguo jamani mtakuja kutenguka nyonga mshindwe kutoa raha kwa my zenu,🙄
Binafsi hizo 50/50 zenu pelekeni hukoooooooo mimi ni old school naelewa uanamke wangu unathamani kiasi gani.
Tchaooooo
unajua hii mada nimejiongelea mimi, nipo kwenye ndoa (ya jinsia moja) huu mwaka wa 11, na ndio tunavyoishi majukumu yote ya ndani amebeba yeye na hajawahi kulalamika, pia wewe unaongelea mahusiano ya gf na bf nimeona hata sehemu umemquote ephen_ kama vile yupo kwenye mahusiano ya gf na bf, hapana yupo kwenye ndoa na mada inazungumzia wanandoa sio hayo mahusiano yenu ya kihuni, upooooooooo👌Kwa aina ya mindset yako salama yako ni kuwa na mwanaume mwenye kipato kikubwa ambaye angalau mshahara wake ni 3M+ au mfanyabiashara mwenye kipato kikubwa ambao kiuhalisia wapo wachache na wengi wao ni waume za watu au wanafamilia
Ni hawa hawa hua wanasema wanawake hawafai kufanya kazi wakae ndani kulea watoto, watarubuniwa blah blah leo hawa hawa wanataka wao na wanawake wagawane majukumu ya kulipa bills😂 wanaume wa jf ni kizunguzungu walaiUzi umetembea huu, comments za makasiriko na maumivu, furaha na shengesha zote zimoo.
Nweiii basi sawaa.
Yaani hii yote ni kukana majukumu yako kama mwanaume, yaani mmefikia hatua hii ya kutaka kushindana kila kitu na mwanamke ama kweli wahenga hawajakosea kusema hiki ni kizazi cha nyoka, enzi hizo wanawake walikua wanafanya biashara na bado wanaume zao walikua wanaprovide kila kitu ndani bila kuguna wala kukasirika, leo wanaume wanataka wakae mezani na wake zao wapangiane nani ananunua nini, hiyo nyumba haiwezi kua na heshima wala nidhamu miaka buku, mnatia kinyaa kwa kukimbia majukumu yenu.Hayo ni mawazo yako. Mwanaume nae ana mawazo yake, na hakuna mwanaume anaejielewa atakubali kulipa kila kitu wakati mkewe anatoka asubuhi kwenda kazini na pesa yake haionekani ndani ya nyumba. Haya ni maujinga tu mnalishana mitamdaoni lakini kwenye uhalisia bill utachangia na hakuna ambacho utafanya
Sasa kama umeolewa na Mwanamke mwenzako,kwanini unasema ''Mwanamke kuhudumiwa'' kwani huyo anayekuhudumia yeye sio Mwanamke? au unafikiri baada ya yeye kukuoa wewe jinsia yake imebadilika?unajua hii mada nimejiongelea mimi nipo kwenye ndoa (ya jinsia moja) huu mwaka wa 11, na ndio tunavyoishi majukumu yote amebeba yeye na hajawahi kulalamika,
nahudumiwa mimi mwanamke wapi sijaeleweka labdaSasa kama umeolewa na Mwanamke mwenzako,kwanini unasema ''Mwanamke kuhudumiwa'' kwani huyo anayekuhudumia yeye sio Mwanamke? au unafikiri baada ya yeye kukuoa wewe jinsia yake imebadilika?