The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 38,660
- 120,008
Mbona unakua na akili nzito kiasi hicho?nahudumiwa mimi mwanamke wapi sijaeleweka labda
Umesema upo kwenye ndoa ya jinsia moja,
Huyo anayekuhudumia,aliyekuoa,yeye jinsia yake sio Mwanamke?
Kujipa position kua yeye ndio kakuoa hakuibadili jinsia yake ya asili kua haya yeye ni Mwanamke,
Ndio maana hata wewe ukaiita hiyo ndoa kua ni ndoa ya jinsia moja,
Yani nyie wote wawili jinsia yenu ni moja,kitu gani kinakufanya wewe ujione kua ni Mwanamke na yeye sio Mwanamke?