Mambo ya 50/50 binafsi mnitoe siyatakiiii

Mambo ya 50/50 binafsi mnitoe siyatakiiii

Bora hata angekuwa jamaa, mwenyewe kujilisha mpaka ajidhalilishe humu atanilishaje siku zote hizo! Ulishawahi kumlisha mtu siku 365? Au unafanya tu assumptions za kuandika!
ila mwanetu, Kumlisha mtu kwa siku 365 na robo, haihitaji ukwasi mkubwa hivyo. Hata akina mimi wa chini ya dola 1 kwa siku we can afford it na tunalisha watu wa family zetu kwa dola 1 hiyo hiyo kwa 365.

inategemea na mlishwaji anakula nini na wapi.
 
$1?? Haya kila heri! Uzuri jf kila mtu anajiweza wacha tukae pembeni bwana!😅
 
Wapi wewe ushasema hushindwi lisha mtu siku 365 tena na robo! Nipo apa najiandaa nije unilishe, ole wako!!😅
Karibu, machimbo ya kupata miguu ya kuku nayajua, so nakuchapa na dona robo na mguu moja wa kuku. Jumla sh. 700/-.

Maji ya kunywa utadownload.

Uzuri sijasema frequency ya meal.
So, ukila leo, tukutane keshooooo, i suggest ule jioniiiii (mpakani mwa mchana na usiku)

Hivo hivo hadi 365 na robo ziishe.
 
Karibu, machimbo ya kupata miguu ya kuku nayajua, so nakuchapa na dona robo na mguu moja wa kuku. Jumla sh. 700/-.

Maji ya kunywa utadownload.

Uzuri sijasema frequency ya meal.
So, ukila leo, tukutane keshoohooo, I suggest ule jioniiiii (mpakani mwa mchana na usiku)

Hivo hivo hadi 365 na robo ifike.
Siwezi mwaya🫢
 
Karibuuuuu.
Formula ni ile ile, kula ni dakika za jioooooooooni (katikati ya mchana na usiku).

Nauli, bando, n.k. hizo sitakupatia 😎, sabb mkataba ni wewe "ule" kwa siku 365 na robo.
Basi hizi mbwembwe za kusema naweza kukulisha we na ukoo wako mziache please 😂
 
Basi hizi mbwembwe za kusema naweza kukulisha we na ukoo wako mziache please 😂
ila wapo humu wanaojimudu na wanaweza hiyo.

Humu tupo wote, wa dola 1 tupo, middle income class wapo, high net worth individual kwa standards za TZ wapo pia.

Hivyo mtu akisema ataulisha ukoo mzima, mie sipingi sabb simfahamu kiuchumi yupoje.
 
Back
Top Bottom