Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 10,893
- 16,074
Unajua km ulikuwa unasimama freshi na mke anakua up&down zako mbona anakubeba tuu mpk ushangae. Huwezi amini hata suruali na mashati anakutoa tuu akiona yamepaukaLife is very tricky! Kibunda waga kinakata, kuna ups and downs kwenye life, watu wengi wanakimbiwa na wanawake ikitokea wakaanguka!
Hivyo ni muhimu sana, kucheki mtu utakae kuwa nae kwenye "ups and downs".😊
Pesa huisha bosi; na jinsia kinzani haiamini katika kuisha kwa pesa! 😊