Mambo ya 50/50 binafsi mnitoe siyatakiiii

Mambo ya 50/50 binafsi mnitoe siyatakiiii

Watu wauza genge, wapiga debe, waendesha guta, kipato chake kidogo chini hata ya iyo 700k, na ana ndoa imetulia, wanaweka mpunga mezani, wanapanga bajeti pamoja. Mke anauza mkaa, au anachoma maandazi, wanaishi kwa maelewano na bila hila. Mke ni "Mindset" yake.

Swali kwako binafsi; Kwa mtazamo wako 700k, mtu hawezi hudumia familia?
Jamani, si tulishakubaliana kwamba wote tuliopo humu vipato vyetu ni 4M plus kwa mwezi.

Sasa mbona mnatusaliti, leo mnasema 700k kwa mwezi inatosha? 😀

Mtu mwenye salary ya 1.7M alishambuliwa humu akaambiwa ni ndogo aache kazi, yaani mpaka akaukimbia uzi wake
 
Ungekuwa wewe ni huyo ex girlfriend wake halafu akupe 10m ungeuliza imetoka wapi?
Au sasa hivi upewe 17m ya biashara na mtu wako ya utaikataa kama amekopa?
Nachukua bila kuangalia nyuma! Ila mjinga ni yeye hela ya mkopo tokea lini ikatumika kuhonga tena mtu sio mkeo.

Haya ya kwake yeye kwanini asingefanyia jambo la kuzalisha hela kuliko kununua gari?
 
Watu wauza genge, wapiga debe, waendesha guta, kipato chake kidogo chini hata ya iyo 700k, na ana ndoa imetulia, wanaweka mpunga mezani, wanapanga bajeti pamoja. Mke anauza mkaa, au anachoma maandazi, wanaishi kwa maelewano na bila hila. Mke ni "Mindset" yake.

Swali kwako binafsi; Kwa mtazamo wako 700k, mtu hawezi hudumia familia?
Vijana wengi wanasingizia kataa ndoa ila ukweli ni kwamba hawana pesa za kuhudumia familia.

Mtu anapokea mshahara laki 7 (huu ndo ukweli bongo watu wengi mshahara laki 7) anaendesha gari bovu kila siku garage hela ya kuhudumia familia atatoa wapi?
Kuhudumia familia wala hakuhitaji pesa nyingi kihivyo , kuanzisha familia mnaweza jijenga taratibu kwa pamoja mpaka mkatoboa , ujambazi ndio sababu ya kataa ndoa , ujambazi ujambazi mke anadanga na kuuza mbususu ndani ya ndoa , just imagine 🤔
Jamani, si tulishakubaliana kwamba karibu wote tuliomo JF vipato vyetu ni 4M plus kwa mwezi.

Sasa mbona mnatusaliti, leo mnasema 700k kwa mwezi inatosha? 😀

Mtu mwenye salary ya 1.7M alishambuliwa humu akaambiwa ni ndogo aache kazi, yaani mpaka akaukimbia uzi wake.
 
Jamani, si tulishakubaliana kwamba wote vipato vyetu ni 4M plus kwa mwezi.

Sasa mbona mnatusaliti leo mnasema 700k kwa mwezi inatosha? 😀

Mtu mwenye salary ya 1.7M alishambuliwa humu akaambiwa ni ndogo aache kazi, yaani akaukimbia uzi wake

Tajiri usiishi sana kwa kufauata watu wa "social networks".. 😊
Kuna viini macho sana kwenye hizi social networks, hasa JF humu. Kuna mtu hana hata godoro lakini atakwambia unaishi kishamba. 😊
 
Nachukua bila kuangalia nyuma! Ila mjinga ni yeye hela ya mkopo tokea lini ikatumika kuhonga tena mtu sio mkeo.

Haya ya kwake yeye kwanini asingefanyia jambo la kuzalisha hela kuliko kununua gari?
Hapa sasa ndio hata sisi ma feminists wanaume huwa mnatuchunganya wanawake. Yani mnaona kuzifisadi pesa za mwanaume bila huruma au kuwa na mipango ya future naye ni sawa tu halafu hapo hapo tena bado mnaowaona wanaume wa aina hiyo ni maboya tu!😁, kwa namna hii hatutafika.
 
Boss wako kazini akikwambia ufanye kazi utakataa? Na mshahara anakulipa?
Ok,sitokataa sababu pale siko kwenye mapenzi na kampuni au boss. Niko pale kufanyakazi nipate pesa ndo maana mara nyingi tunaonywa kutochanganya mapenzi na kazi maofisini maana huathili utendaji kazi. So, pale hupelekeshwi bali unapewa majukumu yako yakuyafanya upate mkwanja wako na siku zote boss hakupendi wewe,anapenda kazi yako.
Vipi, mfano wako wa eneo la kazini unahusiana na swala la mapenzi/ ndoa na kupelekeshana??!
 
Hii picha bana 🙌🏾😀, superb!

sikupanga kucomment.
ila ngoja niseme kwamba, kitunguu nacho kina aina tofauti tofauti na taste ni tofauti tofauti pia.

Kama maembe, tikiti, machungwa, etc. vile ambavyo nayo huwa na taste tofauti tofauti kwa aina tofauti tofauti.
So whats your point?
00F1F901-14F7-4278-86F0-F59EA03F9DCE.jpeg
you think am on yo side??
 
Guys kuna raha kua Mwanamke na raha ya Mwanamke kuhudumiwa,
acheni sasa niwaambie mimi ni yule mwanamke hata nikipata mshahara sasa hivi, bado nitapiga simu kwa kaka zangu (wananipenda sana lastborn wao) wanitumie hela ya chips au icecream,
Siwezi kwenda lunch na kuna wanaume halafu mimi nilipe bill hata kama ni yangu, hapana nitatulia tuliii wanaume walipie,😐

Kuna siku ilikua lunch na co-workers sasa bill ilivyofika mdada mmoja naona anafungua wallet weeh acha nimpige kofi la bega, akashtuka nikamwambia "tulia ufurahie uanamke wako" akacheka akaweka wallet chini,🙃

Tukija nyumbani ndio kabisaaaa siwezi kubeba majukumu ya kununua chakula na kulipa bills, nope! labda kununua vitu vidogo vidogo kama chumvi na viberiti au snacks zangu, lol

Haya mambo ya 50/50 yaishie kwenye mabiashara hukooo ila kwenye mahusiano hapana jamani kila mtu asimamie majukumu yake yanayomuhusu, mimi jukumu langu ni kuleta utulivu, nuru na amani nyumbani,
Mtauliza sasa wewe mshahara wako unaufanyia nini sawa nitajibu, nanunua vitu vidogo vidogo kama mapambo ya ndani, kufix issues ndogo ndogo zitakazojitokeza na kuspend kwenye mambo yangu,🥰 wanawake tuna vitu vingi jamani na pesa kwetu haijawahi kutosha,😂

Ewe mwanamke unayejiita mwanamke wa shoka, unayevuja jasho na damu ili kuhudumia familia kwanza nakupongeza sana ila kama ukipata nafasi ya kufanyiwa jiachie ufanyiwe, Mwanamke ni pambo la dunia, kaumbiwa kutunzwa, kudekezwa, kupendwa, kubembelezwa, mwanamke anatakiwa awe laini laini sio wanaume wapo wewe mwanamke unabeba ngazi unaparamia ukuta kuweka umeme au unapanda kwenye stuli kufunga kamba za nguo jamani mtakuja kutenguka nyonga mshindwe kutoa raha kwa my zenu,🙄

Binafsi hizo 50/50 zenu pelekeni hukoooooooo mimi ni old school naelewa uanamke wangu unathamani kiasi gani.
Tchaooooo
Nimekupenda bure mweee wafundishe na wenzio maana hawajisomi huko ndo maana wanatelekezwa mwanamke Yuko bize anatafuta kiwanja ajenge ukimuuliza anasema anataka mume wake Asimnyanyase sasa unajiuliza huyu kama siyo amekataa kuwa mwanamke nini shida tulia kuwa mwanamke baaa
 
Jamani, si tulishakubaliana kwamba wote vipato vyetu ni 4M plus kwa mwezi.

Sasa mbona mnatusaliti leo mnasema 700k kwa mwezi inatosha? 😀

Mtu mwenye salary ya 1.7M alishambuliwa humu akaambiwa ni ndogo aache kazi, yaani akaukimbia uzi wake
Mbona ombaomba na wenye mishahara ya 250k wapo wengi sana humu 🤔
 
Nilikuwa nasubiri your comment 😄😄
Wanawake ni trouble makers kwa kweli, ili mambo yaende kimpangilio kuna muda inabidi wapuuzwe. Just imagine mtu anataka usawa wa kijinsia kwenye elimu na ajira halafu mwishoe ahudumiwe na mwanaume aliepewa nae access sawa kwenye kila kitu.

How can you demand provision from your equal.! Stupidity high level of selfishness.
 
Back
Top Bottom