Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 34,846
- 100,037
Yani badala mtu akusaidie jinsi ya kutatua tatizo anakimbilia kukwambia uondoke sasa sijui uende kwake😅Wanaotoa ushauri mtu uharibu ndoa yako wao wenyewe ndoa wanazitaka. Tukiwa nao wanajifanya superwoman wakiwa peke yao wanalia nitaolewa lini🤣