Mambo ya 50/50 binafsi mnitoe siyatakiiii

Mambo ya 50/50 binafsi mnitoe siyatakiiii

1000041009.png
Nimeikuta tiktok huko
 
How does it make a difference? Aren’t help and dependence the same thing? For instance, you have a house helper at home who works for you, can’t you also provide for her needs as well, such as health insurance, shelter, and food? What if she has needs won’t you fulfill them?
Please clarify your point because I don’t understand what “dependence” means, lol 🫢
It takes wisdom to strike the balance. As a man there are things you are given the mandate to take care of; the non negotiables. But if a woman has wisdom to see through things, there are small matters of the family which are within her means to help.

James 3:13–18

13 Who is wise and understanding among you? Let them show it by their good life, by deeds done in the humility that comes from wisdom.

14 But if you harbor bitter envy and selfish ambition in your hearts, do not boast about it or deny the truth. 15 Such “wisdom” does not come down from heaven but is earthly, unspiritual, demonic. 16 For where you have envy and selfish ambition, there you find disorder and every evil practice.

17 But the wisdom that comes from heaven is first of all pure; then peace-loving, considerate, submissive, full of mercy and good fruit, impartial and sincere. 18 Peacemakers who sow in peace reap a harvest of righteousness.

1 Corinthians 3:19: "For the wisdom of this world is foolishness in God’s sight."
 
Jana nilikua napitia vikao vya wanawake IG
Nikakuta somo mume akifa hutakiwi kuanza kulia! Ingia ndani kusanya hati za mali zenu zote hadi risiti za thamani za ndani mpaka ving'akuzi tafuta sehemu chimbia.
Ukimaliza ndo uanze kulia.

Nilicheka sana! Ndoa za siku hizi watu wanaviziana maslahi mbele hasahasa wanawake.

Vijana washasanukia huu mchezo, hakuna kumwaga wino; hakuna kuvisha pete, wanakutana kimjini mjini, wanaachana kimjini mjini. 😊
 
Mtu wa hivi anaweza kunyonga usingizini
 
Vijana washasanukia huu mchezo, hakuna kumwaga wino; hakuna kuvisha pete, wanakutana kimjini mjini, wanaachana kimjini mjini. 😊
Vijana wengi wanasingizia kataa ndoa ila ukweli ni kwamba hawana pesa za kuhudumia familia.

Mtu anapokea mshahara laki 7 (huu ndo ukweli bongo watu wengi mshahara laki 7) anaendesha gari bovu kila siku garage hela ya kuhudumia familia atatoa wapi?
 
Kuhudumia familia wala hakuhitaji pesa nyingi kihivyo , kuanzisha familia mnaweza jijenga taratibu kwa pamoja mpaka mkatoboa , ujambazi ndio sababu ya kataa ndoa , ujambazi ujambazi mke anadanga na kuuza mbususu ndani ya ndoa , just imagine 🤔
 
Nikiwa popote na mwanamke then akajifanya anataka alipe bill ambayo tumekula au kunywa pahala, huwa namzuia nailipa mm mwenyewe

Then after hapo hata sms hapati kutoka kwangu na sim zake sipokei.. dharau sana nitoke na wewe then ujifanye kulipia bill

Nachukia sana
Na huo ndio urijali, igweeeeeee igweeeeeee unapaswa kua mwalimu wa hawa wavulana wanaokimbia majukumu yao nakuegemea kwenye kivuli cha 50/50
 
Kuna kisa leo dada alikisimulia humu walivyopitia changamoto na mhalifu wake na wakapambana nazo , ebe fikiria kama kungekua na jambazi katikati yao kama hiyo familia ingesimama 🤔@ephen_
Nitag huo uzi
Tunaongea kutokana na yanayotokea sana kwe jamii.

Binafsi mtu wangu kanyooka hana vipengele so ikitokea changamoto za kiuchumi au kiafya lazima niwe nae bega kwa bega.

Ndoa zilizonyooka bado zipo🥂
 
Back
Top Bottom