Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 34,042
- 97,796
Wapo sikatai ila sidhani kama wanaweza kujiropokesha kama vichaa hivyo😁ila wapo humu wanaojimudu na wanaweza hiyo.
Humu tupo wote, wa dola 1 tupo, middle income class wapo, high net worth individual kwa standards za TZ wapo pia.
Ila masikini mbwa sisi sasa🤡🤭