Mambo mazito CCM Dodoma: Wajivua gamba?

Mambo mazito CCM Dodoma: Wajivua gamba?

Kwanza mambo ya kagoda yalitokea alipokua basili maramba, aliyewaita wakaguzi ni Zakhia meghji... sasa ni mawaziri wangapi wanaoweza kusema Governor wa benki amedanganya ????

Wengi mmejaribu kumuhusisha na EPA bila mafanikio. Kwa sababu ukweli ni kuwa EPA ilitokea wakati wa Basil Mramba, Pesa za Kagoda baadhi zilitumika na kina RA kwa ajili ya kampeni ya JK. Huyu mama ni true nationalist !!


Kilichomfanya akawafunika kwenye audit report ya deloit (kama sio ya Ernst & Young) kilikuwa ni kitu gani? Huu nao tuuite uadilifu?
 
Yangu macho,lakini Mkama vs Makamba is like old wine in the new bottle!! CDM for ever
 

Haya kisha iva:-


WILSON MUKAMA KATIBU MKUU CCM,
NAPE MOSES NNAUYE KATIBU ITIKADI NA UENEZI,
ZAKIA MEGHJI KATIBU FEDHA NA UCHUMI,
Dr REHEMA NCHIMBI KATIBU ORGANISATION

Mukama is a good man and a hard worker tangia alipokuwa jiji na baadaye katibu mkuu
hizo damu mpya nafikiri zitachangia kubadilisha sura ya chama tawala - hasa Nape na Dr Nchimbi

pakiwa na viongozi wazuri wa chama tawala wa kitaifa - itasaidia kupush mambo serikalini
 
Mi nadhani Mheshimiwa amemuweka mama meghji Kama mtu wa karibu ambaye hawezi kumdanganya na pia hawezi kumruka au anayedhani anamwamini mi nadhani ni jbo lipo mahali pengi amabapo mabosi wengi huweka watu wa karibu naye. Tusimhukumu kwa hili tumuache maana hata haya mageuzi ni magumu kwa hali ya halisi.

Maoni binafsi

QUOTE=Quinine;1837858]CCM katika kuchagua kote kwenye kapu la mayai viza wamepata haya ndiyo yaliyo na nafuu wanasema yameoza kidogo tu.[/QUOTE]
 
Mimi naomba kuuliza jk kaenda na mke gani huko dom maana huyo ni mzee wa totozi
 
alifanya madudu pale wizara ya afya alipoondoka walifurahi waulizeni watu wa wizarani ikabidi aletwe mama Nyoni kuweka mambo sawa hadi sasa mama Nyoni anahangaika na madudu yake ,Je CCM ataiweza ? pia ni mshikaji sana wa JK kama kawaida yake ushikaji mbele

Madudu yapi, yataje maana mimi najua B. Nyoni alipelekwa afya baada ya kuwa hawaelewani kabisa na waziri wake wakati huo mama mwangunga
 
- Mukama a great man and good leader, one of CCM's long time behind the scene propangandists, loongtime Chuo cha Kivukoni, my very close loongtime friend, and with Kinana it means only one thing, the end of Mafisadi.

- Alikuwa ni Mukama, aliyegundua ubadhirifu wa ajabu sana uliofanywa Jiji na kumuarifu Rais no wonder aliyetoka huko mlo ukaisha! This is great change for CCM, isipokuwa ni mapema sana kutabiri what it means to Taifa, lakini with Kinana ninaamini this to be the end of Mafisadi.


FMeS!
 
Nampa hongera aliyemshauri jk kumuweka Nape maana ni mfano kwa kizazi kijacho. Ninaamini haki hapo haki imeshinda na ufisadi chini.

Unastahili na hongera


Kuchaguliwa kwa Nape liwe Fundisho kwa vijana wenzake wanaotumiwa na mafisadi kama yule msomari. Simamia ukweli na ukweli utakuponya. Wao walibenk kwa LA. kiko wapi. Nape alijitahidi kujiepusha na mafisadi mwisho wa siku analia kivulini. Vijana wadogo kama msomari kuanza kuwa groomed kuwa mafisadi inasikitisha. Anyway for the sake of our country hii timu mpya iangamize mafisadi wote vijana na wazee! I am for change regardless inaletwa na Chadema au CCM. Hatuhitaji tu sura mpya ila tunataka mtusafishie hii nchi jamani.
 
Nyeusi. yes, lots of things, AICC, Richmond/Dowans... lakini kwa maslahi ya nani?
Nyekundu Meno ya Lowasa yanang'ata na kurarua watanzania, tutaishi nae vipi huyu? Anahitaji karantini.
Bluu Do you expect bloodsucking vampire to declare that he has had enough of blood?
Gimme a break!

Umenena mkuu
 
Wakati bado faili zake bado kidgo, hebu nijulishe zaidi kama kweli ni Shomile jina lake Mukama au Ndiaomukama??????????????????? Why that omission?????????????

Naona niwakosoe baadhi yenu, jamaa anaitwa MUKAMA na sio MKAMA. Shomile kutoka kagera lazima kuwe na MU yani OMUKAMA wange. Na watu kutoka mara ni MKAMA. Naomba msichanganye hayo majina mawili tofauti.
 
kama ningekuwa rais ningeanza kumfukuza MAKAMBA mkubwa'',i cjawahi hata siku moja kuona anazungumzia hali ya nchi,uchumi,elimu wala chochote ye ni ccm tu;;hata mazingira hazungumzii mtu kama huyu mnampa madaraka ya chama ya nn!! watoto wanaozaliwa karne hii cdhani hata kama watakuwa wanamuelewa wangefuta hata speech zake wasiziache kwa vizazi sababu tutaonekana wote wendawazimu tuloishi karne hii'


Ndio uwezo na kufikiri kwake kuliishia hapo Mheshimiwa unafikiri angefanyaje zaidi?
 
Lowasa, Chenge na Rostam wakirudi tena kwenye CC, itakuwa ni yale2.
 
I am also lost....did he mean, they had to beg her for her to accept the new post or ?

I am genuinely happy for Napelape...kweli jirani yangu huyu wa seaview has gone through a lot...truth has costed him more than anyone can imagine...I am so glad that it was you and not 'waganga njaa' who were chosen amongst the youth! Big up sana!!!

Mhandisi

The past tense and past participle of 'cost' is 'cost' and not "costed" as you put here
 
Back
Top Bottom