Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,018
- 20,489
Kimsingi sasa ccm kifo hakikwepeki! Walichokifanya nikuongeza chuki ndani ya chuki! Kukomoana sasa kupo hadharani na tusubiri mauaji ndani ya hili dude liitwalo ccm, Watanzania wangepata moyo kama wangesikia kuwa RA,el,chenga,kanywamaji,ngariba,manyus,watiziro,pembelang'ombe,celi kombati,KIKWETE au BABA rz1 na matandao wote wa kifisadi UKITIMULIWA na chama kufutwa jina na kubadilisha rangi ya bendera yao