Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,099
- 12,920
Bashe nae vipi?Al Shabab ndani ya nyumba sasa wasomali wameingia rasmi kwenye chama.
Bashe nae vipi?Al Shabab ndani ya nyumba sasa wasomali wameingia rasmi kwenye chama.
Kumbe ndio huyu? Labda atapata ukuu wa wilaya.Hapana..ni tambwe hizza
......Mtu wa madili pia
Ndio maana yake..naomba kuuliza hili ndilo gamba jipya la huyu kifutu (ccm)?
I am also lost....did he mean, they had to beg her for her to accept the new post or ?
I am genuinely happy for Napelape...kweli jirani yangu huyu wa seaview has gone through a lot...truth has costed him more than anyone can imagine...I am so glad that it was you and not 'waganga njaa' who were chosen amongst the youth! Big up sana!!!
Mhandisi
CCM katika kuchagua kote kwenye kapu la mayai viza wamepata haya ndiyo yaliyo na nafuu wanasema yameoza kidogo tu.Kinana kawa deputy Tz bara, Nape kapelekwa itikadi na Zakhia Meghji kaenda fedha wakati Rehema Nchimbi akienda Organisation
kwa kashfa hii ya JF nashauri ifungwe maana imeshaingiliwa na watu wanaoishushia credibility ya kuwa mahali pa kupatia information za kweii na ma breaking news. Siiamni tena kuanzia sasa
Aliwahi kuwa Mkurugenzi wa Jiji la DSM......Mtu wa madili pia
CCM katika kuchagua kote kwenye kapu la mayai viza wamepata haya ndiyo yaliyo na nafuu wanasema yameoza kidogo tu.
kwa kashfa hii ya JF nashauri ifungwe maana imeshaingiliwa na watu wanaoishushia credibility ya kuwa mahali pa kupatia information za kweii na ma breaking news. Siiamni tena kuanzia sasa
Kwa hiyo ndiyo propaganda zimeanza rasmi kumpaka mafuta Lowassa kwa mgongo wa chupa.To all Great Thinkers...
Huu ndio mwanzo wa EL kuelekea 'White House' 2015.
Mukama ni m2 wa system for long time now...na amewekwa pale kimakusudi na JK kumwandalia EL njia ya kuelekea kilingeni.
JK anajitahdi kumpoza sana 'best yake' ili kutimiza ndoto zao za kui-rule TZ consecutively.
Mukama amewekwa pale purposely ku-connect upya system na CCM ilivyorugwa na Lt. Mgosi.
Ndani ya system yote, EL ndiye anayekubalika kuliko hata J.K... (UKWELI NDIO HUU)
Akiwa na Muunganishaji - W.M wanaamini itakuwa kwao mteremko kuachiave malengo yao ya kumwezesha EL 2015
...Ilani.
Planning does not always come true
To all Great Thinkers...