Mambo mazito CCM Dodoma: Wajivua gamba?

Mambo mazito CCM Dodoma: Wajivua gamba?

Wangeondoshwa hata kwenye kamati za Bunge!

Naam, ndo maana mi naona kwamba however fascinating these changes are, they are only cosmetic surgery. Yaani, funika kombe bwanaharamu apite!
 
hizo ni filam tu hamna lolote! Wakati mwingine shetani huja kama malaika wa nuru
 
Sasa tutegemee MPASUKO mkubwa ndani ya ccm kupitia muungano wa (MAWAZIRI WAKUU WASTAAFU), sina hakika iwapo JK atahimili nguvu ya vishindo vyao.
 
kama ningekuwa rais ningeanza kumfukuza MAKAMBA mkubwa'',i cjawahi hata siku moja kuona anazungumzia hali ya nchi,uchumi,elimu wala chochote ye ni ccm tu;;hata mazingira hazungumzii mtu kama huyu mnampa madaraka ya chama ya nn!! watoto wanaozaliwa karne hii cdhani hata kama watakuwa wanamuelewa wangefuta hata speech zake wasiziache kwa vizazi sababu tutaonekana wote wendawazimu tuloishi karne hii'
 
God is still in control. Maombi yetu ya kuvunjika na kumaliza kwa huyu shetani ccm ndio hapa tumefikia. Thank you God.
 
Haingii akilini kuwa kama wamevuliwa uongozi mwingine wa CCM kutoka nafasi nyingine kutokana na uzito wa tuhuma dhidi yao kwanini wanabakia kuwa Wabunge? Kwanini sababu zilizowafanya wavuliwe uongozi mwingine zisiwe sababu za kuwavua Ubunge kwa kuwavua uanachama?

Ubunge lakini hawakupewa na CCM, ni wannchi waliwapa. Siasa sio kama mathematics kuwa logically if x>0 then it means X is positive number!
 
Kumbuka kuwa NYOKA AKIJIVUA GAMBA huendelea kuwa NYOKA kamwe hawez kuwa mamba au kemge. So hebu mtafakar baada ya hilo tukio CCM Watawez kuwa 2main jipya la watanzania? Ni hayo tu.
 
Ni mwezi february tu RA ameikopesha dola pesa za kuwalipa civil servants kwani HAZINA ilikuwa nyeupeee, hayaniingii akilini kwa haya mabadiliko yanalenga nn hasa. Iwapo ni kweli constructive changes basi kuna mabomu yenye mitikisiko kulipuliwa na waliotolewa kafara.
 
Haingii akilini kuwa kama wamevuliwa uongozi mwingine wa CCM kutoka nafasi nyingine kutokana na uzito wa tuhuma dhidi yao kwanini wanabakia kuwa Wabunge? Kwanini sababu zilizowafanya wavuliwe uongozi mwingine zisiwe sababu za kuwavua Ubunge kwa kuwavua uanachama?
Uanachama ni tofauti na ubunge,kwa mfano chama kinabase sana kwenye loyalty,mbunge anaweza asiwe loyal kwa chama chake au jimbo lake na still akawa na wadhifa wake.
Kwenye vyama loyalty is very important,ndio maana umeona zitto akidondoka kwenye ranks za CDM because of loyalty,na ndio maana unamuona Lema akipanda ranks za CDM(technically speaking) kwa sababu huyu jamaa ana loyalty kubwa sana!...kati ya wanasiasa wazuri wa bongo,watu wa arusha wana good politicians ambao wako very loyal,like Lema,sokoine,kirilo japhet,seth benjamin n.k but not people like lowasa,sumaye,slaa n.k those are just a joke!
 
Ubunge lakini hawakupewa na CCM, ni wannchi waliwapa. Siasa sio kama mathematics kuwa logically if x>0 then it means X is positive number!

Usijali mkuu kuna wakati siyasa inakuwa masematikisi kweli, utaona ekisi itakuwa gireta than ziro sasa hivi
 
Kumbuka kuwa NYOKA AKIJIVUA GAMBA huendelea kuwa NYOKA kamwe hawez kuwa mamba au kemge. So hebu mtafakar baada ya hilo tukio CCM Watawez kuwa 2main jipya la watanzania? Ni hayo tu.

Yap yap, shehe yule yule kanzu mpya?
 
Nadhani kuna jambo ambalo ccm inaweza kufanya kujiokoa- kujisafisha, kukubali kubadilika, kwenda na wakati.
Watanzania wengi zaidi bado wanaishi kwenye object poverty na ndio wanaoishi with less than a dollar a day.
Mahitaji ya watu hawa ni mlo mmoja tuu wa leo regarless kesho watakula nini.
CCM imekuwa ikiutumia udhaifu huu kujipatia ushiondi wa chee, hivyo ikijisafisha, ikabadilika na kwenda na wakati kwa kujua enzi za kura ya mlo mmoja zimepita, enzi za kura za T-shart na kofia pia zimepita, sasa ni enzi za siasa za ukweli, kama CCM nayo itafanya siasa za kweli, wenye njaa watawaelewa na njaa zao na watawaaminia kwa matumaini ya kushibishwa!.

kwa tarifa yako mkuu ,Kifo cha nyani miti yote huteleza, hata wafanye nini wakati umewadia .
 
Invisible na Mugumu, mjue mimi na watu wote hawa hatulali kusubiria taarifa zaidi za Dodoma.
Wenzangu tunaosubiria hapa ni hawa There are currently 608 users browsing this thread. (145 members and 463 guests)
Pasco fangfangjt bulunga mku sixgates kituro Mallaba wahanya muhosni Nazjaz Anfaal Dotori Sonara Froida matunge Jekyll+Hyde Kinyamana Bajabiri Ame EXECUTIVE Ndumbayeye kobello Mrdash1 koreshi Miya Mimibaba Keil kayumba Limbani Revolutionalist Liganga Quinine Mtembea_peku abracadabra Mwanatarime Ochu Godfrey R YE samirnasri Pena Kibanga Ampiga MKoloni Gbollin Mzee Mwanakijiji+ pendosaidi Bihigi niweze drgeorge Avatar Mike McKee EMT SLIDINGROOF Ng'wanza Madaso Gokona mchukiaufisadi Bornvilla macho_mdiliko Sigma shabaniMusa sem2708 Jibaba Bonge The Invincible MkuuMtarajiwa Leonard Akaro andrewk Kiby daughter Deodat Mbimbinho mgalisha Gurta UmkhontoweSizwe Plato Advocate Jasha Maishamapya mshikachuma Mwanajukwaa Mbaneingoma Zom Pumba Mwiko chiefmasanja Babuyao Taso Mbalinga Libaba MkamaP Malunde-Malundi mtemiwao Mtumiabusara masssaiboi Eqlypz Isekuu SaidAlly Siao Kaka deo Peasant Kaunga mwabaluhi MAWINO Jungumawe Lyangalo Kakalende Mpanzi Buswelu kapotolo Msenshe Oluoch Paddy mnwele PakavuNateleza mwanaharakat j rated Architect E.M abura90 Nyamgluu Mlengo wa Kati Wikiliki Mmongolilomo Fres kalechee Goldman Mgoyangi Yericko Kiwete LordJustice1 GJ Mwanakatwe Joss Dr wa ukweli Annony Ngereja whizkid Mujuni2 junior2008 teya Mwalimu Kenge (Eng) Geru Dr.Mbura emmathy Sn2139 guyton Tusker Bariiiidi Sabasaba Nemesis MtazamoWangu
 
Usijali mkuu kuna wakati siyasa inakuwa masematikisi kweli, utaona ekisi itakuwa gireta than ziro sasa hivi

Kwa uzoefu wetu wengine TUKIO lo lote lina after effect. Kwa mfano Tsunami ya Japan imefuatiliwa na mpasuko wa vinu vya nuklia etc. Kwa hili la maamuzi ya CCM tusubiri after effect wala tusiweke wishfull thinking; kitakachofuata kitatuweka baadhi yetu midomo wazi. Suala la msingi nchi na wananchi watanufaika na nini? Inawezekana kabisa ni mkakati maridhiwa wa kundi fulani ndani ya ccm kujiimarisha. Tujitayarishe kwa lo lote ikiwezekana tuanze kujipangia mikakati mbadala kukabiliana na yajayo.

Kiustarabu kama ni kwa manufaa ya nchi na wananchi tuunge mkono hata kwa hali tu.
 
Invisible na Mugumu, mjue mimi na watu wote hawa hatulali kusubiria taarifa zaidi za Dodoma.
Wenzangu tunaosubiria hapa ni hawa There are currently 608 users browsing this thread. (145 members and 463 guests)
Pasco fangfangjt bulunga mku sixgates kituro Mallaba wahanya muhosni Nazjaz Anfaal Dotori Sonara Froida matunge Jekyll+Hyde Kinyamana Bajabiri Ame EXECUTIVE Ndumbayeye kobello Mrdash1 koreshi Miya Mimibaba Keil kayumba Limbani Revolutionalist Liganga Quinine Mtembea_peku abracadabra Mwanatarime Ochu Godfrey R YE samirnasri Pena Kibanga Ampiga MKoloni Gbollin Mzee Mwanakijiji+ pendosaidi Bihigi niweze drgeorge Avatar Mike McKee EMT SLIDINGROOF Ng'wanza Madaso Gokona mchukiaufisadi Bornvilla macho_mdiliko Sigma shabaniMusa sem2708 Jibaba Bonge The Invincible MkuuMtarajiwa Leonard Akaro andrewk Kiby daughter Deodat Mbimbinho mgalisha Gurta UmkhontoweSizwe Plato Advocate Jasha Maishamapya mshikachuma Mwanajukwaa Mbaneingoma Zom Pumba Mwiko chiefmasanja Babuyao Taso Mbalinga Libaba MkamaP Malunde-Malundi mtemiwao Mtumiabusara masssaiboi Eqlypz Isekuu SaidAlly Siao Kaka deo Peasant Kaunga mwabaluhi MAWINO Jungumawe Lyangalo Kakalende Mpanzi Buswelu kapotolo Msenshe Oluoch Paddy mnwele PakavuNateleza mwanaharakat j rated Architect E.M abura90 Nyamgluu Mlengo wa Kati Wikiliki Mmongolilomo Fres kalechee Goldman Mgoyangi Yericko Kiwete LordJustice1 GJ Mwanakatwe Joss Dr wa ukweli Annony Ngereja whizkid Mujuni2 junior2008 teya Mwalimu Kenge (Eng) Geru Dr.Mbura emmathy Sn2139 guyton Tusker Bariiiidi Sabasaba Nemesis MtazamoWangu

mi nipo kitandan bt sfumb jcho
 
Ubunge lakini hawakupewa na CCM, ni wannchi waliwapa. Siasa sio kama mathematics kuwa logically if x>0 then it means X is positive number!
Bado ina hold hiyo logic. Wakiwanyang'anya kadi basi wamewavua na ubunge wenyewe ila hao jamaa wakigombea na yoyote katika majimbo yao watashinda tu. Dawa unachukua kadi kisha unawatanguliza mahakamani wa makosa yasiyo na dhamana kama uhaini au uhujumu uchumi. Ingawa kimsingi itakuwa ni ujenzi wa Udikteta
 
teh teh teh teh gud challenge from Chadema. it z first tym in history
 
Back
Top Bottom