- Mukama a great man and good leader, one of CCM's long time behind the scene propangandists, loongtime Chuo cha Kivukoni, my very close loongtime friend, and with Kinana it means only one thing, the end of Mafisadi.
- Alikuwa ni Mukama, aliyegundua ubadhirifu wa ajabu sana uliofanywa Jiji na kumuarifu Rais no wonder aliyetoka huko mlo ukaisha! This is great change for CCM, isipokuwa ni mapema sana kutabiri what it means to Taifa, lakini with Kinana ninaamini this to be the end of Mafisadi.
FMeS!
Mkuu FMES; Kung'oa ufisadi ccm ni kazi ngumu ambayo ni muujiza kufanywa na mtu aliye ndani ya CCM!
Hata ukija na nia yako nzuri, ni vigumu kubadili kitu ambacho wengi wa viongozi wanakiona kama njia sahihi....!