Mambo mazito CCM Dodoma: Wajivua gamba?

Mambo mazito CCM Dodoma: Wajivua gamba?

Sidhani kama kuna lolote ambalo ccm inaweza kufanya kujiokoa.
Nadhani kuna jambo ambalo ccm inaweza kufanya kujiokoa- kujisafisha, kukubali kubadilika, kwenda na wakati.
Watanzania wengi zaidi bado wanaishi kwenye object poverty na ndio wanaoishi with less than a dollar a day.
Mahitaji ya watu hawa ni mlo mmoja tuu wa leo regarless kesho watakula nini.
CCM imekuwa ikiutumia udhaifu huu kujipatia ushiondi wa chee, hivyo ikijisafisha, ikabadilika na kwenda na wakati kwa kujua enzi za kura ya mlo mmoja zimepita, enzi za kura za T-shart na kofia pia zimepita, sasa ni enzi za siasa za ukweli, kama CCM nayo itafanya siasa za kweli, wenye njaa watawaelewa na njaa zao na watawaaminia kwa matumaini ya kushibishwa!.
 
Hizi ni Gimmick tu za ccm! hakuna jipya! tumesikia misamiati mingi sana toka enzi za Mwl, sijui fagio la chuma na mpaka leo hii JK anakuja na Gimmick ya kujivua gamba! thubutu nani mwenye audacity ya kuwagusa mafisadi wakati JK anakunywa nao chai IKULU kila siku! hii ndo kama issue za kina mramba, chenge kuwafungulia kesi and then anakwenda kuwapigia kampeni, haka kajamaa hivi kweli bado kuna mtanzania anaweza kuamini kana uwezo na uthubutu wa kuwatema wakina Rostam, Lowasa, chenge na mafisadi wenzake? yetu masikio na kutegesha my HOUR GLASS! tutaona......
 
Ishi, hivi kujua kwanini CCM ilishindwa mpaka waka-amua kuchakachua matokeo ya uchaguzi mkuu ilihitaji kuajiri consultant? Hata mwenye uelewa mdogo wa darasa la 7 angetoa jibu hilo hilo! "KUKUMBATIA UFISADI na MAFISADI". Sasa kama CCM hawakujua hilo mpaka waka-ajiri consultant basi hakuna wenye hekima CCM.

Consultant hakuajiriwa kutafuta sababu za kushindwa, bali sababu za kushindwa kuchakachua vema hata baada ya kumwaga mabilioni - maana lengo lilikuwa JK ashinde kwa 80% kama utakumbuka tafiti za kupikwa za redet.
 
Nahofia thread hii isije ikayaingiza mkenge magazeti yetu fulani fulani kwa kuripoti kama habari. Nina wasiwasi ikawa imevujishwa kuangalia hali ya hewa na huenda isiwe hivyo kabisa. Inawezekana ushauri wangu umechelewa kwani magazeti mengi yatakuwa yameshachapwa sasa. Waiting to read from Mwananchi na Tanzania Daima. I hope this tym hawataukwaa mkenge kama ule wa habari ya Sita, Magufuli, na Mkuu wa Mkoa wa Shy! Yote yalianzia huku huku mtandaoni!
 
Wabunge wenu wangerudisha magari basi tuuone mfano!

Usikasirike my brother ndiyo hali halisi hakuna cha kufanya jiandaeni kuugulia machungu ya chama cha upinzani the trum is gone and its too late to catch it! Tuliwabembeleza kwa luga zote za wanadamu na za malaika mkajiona mko juu sana. There are power and powers; this time the powers have decided to be realy and you will see how it perfectly work kwa mikono yenu mtajimaliza na mkisha tumia silaha zenu zote za maangamizi basi mta kuja kujikabidhi mikononi mwetu.
 
Lipo! Kuachana na ufisadi kwa vitendo.

Wamechelewa mno, hawatakiwi tena na tena hata wajivue gamba namna gani. Watanzania wanahitaji mabadiliko. Kuthibitisha hili fuatilia mjadala wa mswada wa katiba.
 
Confirmed, Kikwete kavunja CC na Sekretarieti muda si mrefu. Nimeithibitisha toka kwa source mmoja ndani ya CCM

.
Kachelewa sana kwani zaidi ya asilimia 75 ya wajumbe wa cc ni mafisadi na ndio waliokuwa wameubeba mustakabali wa watanzania.
Kuchelewa huku kulisababisha raia tuvuje jasho la damu yetu wenyewe.
Kwa kweli sijui tutafidiwa nini kusahau machungu tuliyoyapata kutoka kwa hawa mafisadi.
.
 
mkuu, labda ungetoa ufahamu wako juu ya lowassa, hii ingelisaidia wana jf na wengineo kwa ujumla kujua undani wake haswa,,, pliz help us with the info about him
Tatizo la Lowasa sio kura za watanzania kwa sasa. Tatizo lake ni namna gani atajijenga ndani ya chama ili ateuliwe. Lowassa haishi leo, anaishi June/July 2015 wakati wa kura za maoni CCM. Akipenya hapo nani atamzuia tena bwana? Na humo CCM sio kwamba wanambania kwa sababu ati hawampendi. Sababu hasa ni kwamba wapo wengi wenye malengo ya 2015 na wapo wanaomtukuza EL mchana lakini usiku wanamloga ili nao malengo yao yapate kutimia. So kazi ipo kichama zaidi. Mambo mengine endelea kufuatilia habari hizi, thanks to mugumu.
 
Bado sijapata sura kamili ya kijukwaa. Ngoja niende kule kwa ma rope kujiuzuru.
 
Usikasirike my brother ndiyo hali halisi hakuna cha kufanya jiandaeni kuugulia machungu ya chama cha upinzani the trum is gone and its too late to catch it! Tuliwabembeleza kwa luga zote za wanadamu na za malaika mkajiona mko juu sana. There are power and powers; this time the powers have decided to be realy and you will see how it perfectly work kwa mikono yenu mtajimaliza na mkisha tumia silaha zenu zote za maangamizi basi mta kuja kujikabidhi mikononi mwetu.
Mlisema haya 2010,mtasema 2015,mkishagawanyika mtasema tena 2020.....subirini makombo myape kadi zenu!
 
Mi naipenda sana CCM. Sipendi atoswe mtu.
Meli imeng'oa nanga, kwa nini utose baharini, si usubiri pwani 2015.
Sipendi atoswe JK,EL, RA, Karamagi, Chenge, Sumaye, mramba, Makamba. Kwa nini?
Muwe na subira wanaCCM
2015 mnatoswa en bloc. Na Tanzania yenye mafisadi-free generation itazaliwa.

Usijali my friend wether wanawatosa au wanawaacha it does not make any difference hiyo Tanzania mpya mama yake ameshafika labour na anakazana ku push ili bouncing baby boy (democracy) azaliwe kutawala watu wake. I saw it with my eyes and this is just a process in the making.
 
Mlisema haya 2010,mtasema 2015,mkishagawanyika mtasema tena 2020.....subirini makombo myape kadi zenu!

Usiwaite watu wa Mungu makombo maana nawe unaweza kuitwa hivyo siku moja na sidhani kama itakufurahisha.
 
Nahofia thread hii isije ikayaingiza mkenge magazeti yetu fulani fulani kwa kuripoti kama habari. Nina wasiwasi ikawa imevujishwa kuangalia hali ya hewa na huenda isiwe hivyo kabisa. Inawezekana ushauri wangu umechelewa kwani magazeti mengi yatakuwa yameshachapwa sasa. Waiting to read from Mwananchi na Tanzania Daima. I hope this tym hawataukwaa mkenge kama ule wa habari ya Sita, Magufuli, na Mkuu wa Mkoa wa Shy! Yote yalianzia huku huku mtandaoni!

Kwanza big thanks kwa Mugumu natumaini pia kuwa isije ikawa kama anavyoeleza hapa juu Maishamapya....hizi habari wana JF tuzichukulie kwa umakini zaidi na kwa uangalifu pia...Na ningeshauri si kwa hii habari tu bali na zingine zijazo there many fishy things coming out nowdays...Ila nachelea kusema kuwa mimi naamini kuwa CCM hata waafanye sijui nini sijui overhauling ya chama nothing will work for them ....Serikali yetu yote ni CCM viongozi ambao ni corrupt na wanafanya kazi kwa maslahi ya kundi lao tu hivyo ni imposibble ni sawa na mwafrika kujipaka mkorogo wala hakumbadilishi pua lake wala nywele zake za kipilipili.....
TUENDELEE NA MAPAMBANO......
 
Ukufuatilia post za Mugumu utagundua sababu ya msingi ya maamuzi hayo ya kuvunja CC, ni ili kujiokoa! Si kwa sababu ya kuvua gamba!

Gamba la ccm wote tunalijua, hivyo wakilivua wote tutajua kweli wamevua gamba. Hii ya sasa hivi ni kupukutisha majani kutoka kwenye matawi yake na gamba bado hata halijaguswa. TAFAKARI!
 
Kwani kuwatosa mafisadi ni lazima uvunje secretariet na CC? Au ni kwa kuwa lichama lote lilishakuwa la mafisadi?
 
jk mtu wa ajabu sana....alipoambiwa kuanika wakati kijua kipo alijifanya mjanja....sasa kijua kimezama anaanza kuutwanga mbichi...kazi kweli
 
Hivi na nyie wenzangu kumbe mnaumwa vichwa hivvi; huyu JK mzee wa KITENESI kwa kila gawio la ufisadi wowote nchini apate ubavu kumfukuza FISADI yeyote kutoka CCM aringeee????????????????

Mbona wote wote tu wataanza kumzodoa na kila mmoja kuanika hadharani vyakunyonga vilinavyoendelea kutafunwa mgongoni mwetu nchini???????????

Haswa! hawezi kabisa alisema kwa kauli yake mwenyewe wakati wa kampeni ya 2005 kuwa hatarudisha nyumba za serikali kwavile na yeye amepewa.

Usishangae kuvua magamba watamfukuza mista 6. Ujue huyu jamaa Phd ni ya usanii
 
Ukufuatilia post za Mugumu utagundua sababu ya msingi ya maamuzi hayo ya kuvunja CC, ni ili kujiokoa! Si kwa sababu ya kuvua gamba!

Gamba la ccm wote tunalijua, hivyo wakilivua wote tutajua kweli wamevua gamba. Hii ya sasa hivi ni kupukutisha majani kutoka kwenye matawi yake na gamba bado hata halijaguswa. TAFAKARI!
umenena mkuu hata mugumu mwenyewe kasema kuwa mkuu alikuwa hajui kuwa kuna watu wana mpango wa kumvua kofia yake so hapa mbio zote ni katika kutetea kiti cahke na kumaliia miaka yake
 
Kwanza big thanks kwa Mugumu natumaini pia kuwa isije ikawa kama anavyoeleza hapa juu Maishamapya....hizi habari wana JF tuzichukulie kwa umakini zaidi na kwa uangalifu pia...Na ningeshauri si kwa hii habari tu bali na zingine zijazo there many fishy things coming out nowdays...Ila nachelea kusema kuwa mimi naamini kuwa CCM hata waafanye sijui nini sijui overhauling ya chama nothing will work for them ....Serikali yetu yote ni CCM viongozi ambao ni corrupt na wanafanya kazi kwa maslahi ya kundi lao tu hivyo ni imposibble ni sawa na mwafrika kujipaka mkorogo wala hakumbadilishi pua lake wala nywele zake za kipilipili.....
TUENDELEE NA MAPAMBANO......

Asante Mazee kwa kunielewa!
 
Back
Top Bottom