Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,392
- 40,844
- Thread starter
- #141
Hakuna popote nilipoforce ndugu yangu. Naeleza ukweli kwamba vipengele vya heshima, maadili na purity bikira yupo juu zaidi ya mwanamke ambae ashatumika.Hilo suala la kuforce tuoe bikra ungetafuta namna nyingine ya kutushauri maana hata huko vijijini kwenyewe unatafuta kwa tochi tukija kwenye uhalisia hauko hivyo kabisa
Vilele potential ya kutengeneza bond ni kubwa kwa mwanamke bikira na ya kutosalitiwa ni ndogo kwa mwanamke bikira na ni kinyume chake kwa mwanamke ambae ambae anakuja kwako akiwa na dispointments, comparisons, emotional baggages na trauma kutoka kwenye mahusiano yake ya nyuma
Hapo bado kuna insured womb. Ambae tayari ashatumika kuna uwezekano ashafanya abortions au kumeza vidonge vya P2 ambapo kuna side effects kwenye kizazi.
Kwa maana hiyo sijakuforce uoe mwanamke bikira isipokua nimekueleza ukweli. Mwisho wa siku uhamuzi wa mwisho ni wako mwenyewe.