Mambo ambayo jamii inakutaka usiyazingatie ili uitwe gentleman(code name ya simp)

1.Boyfriend ni jina ambalo unapewa ili upumbuzwe na kubeba rasmi majukumu ya baba wa mwanamke. Inawezekana wapo wahuni ambao hawaitwi boyfriend na wanamnyandua.

2.Demu wako angekua na chaguo bora zaidi yako angekuacha. Yupo na wewe kwa sababu kuu mbili. Moja, anasikilizia kama harakati zako zitatusua ili aibuke na ule msemo wa kitapeli, "kwenye mafanikio ya mwanaume nyuma kuna mwanamke" . Mbili, katika list ya wanaume wanaomtongoza chaguo bora zaidi yako bado halijajitokeza. Zingatia: kila mwanamke yupo single inategemea katongozwa na nani.

3.Ndoa ni mkataba wa kitapeli kwa mwanaume. It takes someone to be a fool at high level to sign a contract with a woman who will be rewarded for breaking it.

4.Mwanaume usipoteze furaha yako kwa ajiri ya mwanamke, kwa sababu meza ikipinduka mwanamke hatojifikiria mara mbili kukupoteza wewe kwa ajiri ya furaha yake.

5.Usitumie hela yako kuboresha maisha ya mwanamke. UTAJUTA. Huo sio wajibu wako, ni wajibu wa wazazi na ndugu zake. Narudia tena, UTAJUTA.

6.Hakuna watu wanawapiga vita single mothers kama wanawake wenyewe. Wakalishe chini mama na dada zako waambie unataka kuoa single mother halafu tulia sikiliza michango yao. No woman want her brother or son to be scammed.

7.Wanawake masikini au jobless ni hatari kwa afya na uchumi wako. Wana-date ili ku-survive. Wewe sio mpenzi wake, ni chanzo chake cha mapato.

8.Definition ya upendo kwa mwanamke ni kwa kiasi gani unamtatulia matatizo yake. Ukisitisha huduma au akitokea mwanaume mwingine wa kutoa huduma za juu zaidi yako, upendo utakufa na sacrifices zako zote atazisahau. So don't overdo. Usiruhusu mwanamke akudanganye hajakufatia hela. Women follow you because of what you can offer, their love is transactional.

9.Mwanaume tajiri anaweza ku-date na mwanamke masikini na kumwinua kimaisha, lakini kwenye macho ya mwanamke tajiri mwanaume masikini ni takataka tu.

10. Wanawake hawavutiwi na mwanaume mwema. Mwanamke anamng'ang'ania mwanaume ambae ni careless and rudely kidogo. Anamuheshimu mwanaume ambaye anamwambia "hapana" na anamaanisha kweli hapana, sio mwanaume mwema anaejali sana na kufanya kila anachotaka mwanamke.

11.Wana-edit past zao. Wanaficha taarifa sahihi za body count, abortions na skendos kwa sababu wanajua hizo taarifa zinawaalibia soko. Usimuone yupo na innocent face, huyo tayari ashapigwa pipe na mashine za kila size, ashakunjwa style za kutisha, asha-cheat sana kwenye mahusiano yake ya nyuma. Usalama wako ni kuoa bikira tu.

Don’t be a simp
We jamaa sidhani kama hata unadindaga wewe.

Kila post unawaponda wanawake.

Baba yako angekuwa na akili za kijinga kama zako usingeletwa duniani.
 
Mleta mada tumechoshwa na vi thread vyako vya kuponda wanawake.

Mwanaume aliyekamilika hawezi kuwa daily anapandikiza sumu kwa wanaume wenzake wachukie wanawake.

Si bure nina mashaka na wewe.
 
Kuna our wish na kuna uhalisia. Nakubali kabisa kuwa kila mwanaume angependa kuanza 0 na mwanamke wake, Kama ambavyo wanawake tunatamani tungeanza 0 na mwanaume ambaye hajapigwa matukio/ mnaita mwenye trauma chache za mahusiano… Ofcoz sio mahusiano tu hata trauma za familia anakotokea. Kila mtu anatamani mtu pure, aanze kummodify mwenyewe unfortunately chances are 0.00006

Mahusiano ni process ya utu uzimani, na kwasababu hatuanzi mahusiano tukiwa watoto hatuna budi kukutana na watu waliopita kwenye mikono ya wengine. Huu ndio ukweli mchungu.

Bikra zingekuwepo kwa kiwango unachokihubiri hapa hakuna mwanaume angeacha kuopt huko.

Mimi sio kwamba nabagaza wanaume kutafuta bikra, No natoa suluhisho halisi, Nalo ni kutokuoa.

Leo sijataka kutumia ile kejeli yetu maarufu ya kuoa wanaume wenzao.
Nyinyi wazazi wa kileo mmekosea mkatolewa bikra basi jitahidini muwalee watoto wenu katika miiko itakayowaepusha

Wewe umekosea imetolewa basi jitahidi kwa mwanao wa kike kumlea katika maadili na mume wake aikute hiyo bikra. Mbona hao wachache wanaweza kuzitunza na wanaume wenye bahati wanabahatika kukutana nao na kuwaoa!!!?

Ukibadili mtazamo wako na kuona kil kitu kinawezekana chini ya jua basi hata hili halitashindikana ila ukikomaa na sijui uhalisia basi mambo yatazidi kuwa mabaya kabisa huko mbeleni,tambueni haya mnayoyafikiria ndo mtawaachia vizazi vyenu,badilika mwanamke uiokoe jamii
 
Unamaanisha nini kusema tulikosea tukazitoa bikra?

Akibadilika mwanamke bila mwanaume kubadilika itasaidia nini? Kwanini mnadhani suala la maadili ni la mwanamke pekeyake.

Nisiongelee uhalisia niongelee nini ndoto?
 
Yani maana yangu ni kwamba malezi yanamtegemea mama zaidi kuliko baba,mama akifeli kwenye malezi akiwa na tabia za hovyo usitegemee kupata mtoto mwenye maadili,lkn baba anaweza kuwa wa hovyo mtoto akatoka na maadili safi.

Tambua kuwa mtoto mzuri ni wa baba na mtoto mbaya wa mama
 
Ndio tuendelee kukwepa uwajibikaji hivi hivi. Matokeo yake yako wazi.

Mnaoumia ni nyie ambao hamtaki kukubali matokeo.
 
Tumeshakosea sasa inatosha,mda wa kukimbizana na adui wetu kuweza kumshinda sio mda wa kutunishiana misuri huu tubadilike,tuibadili jamii yetu inawezekana na tutoe fikra mbaya zisizojenga kichwani mwetu tujaze zilizobora hat wanetu wakizisikia hazitaathiri malezi yao
 
Shida ni kwamba kabla ya ndoa wanawake huwa wana-fake character zao, ndio maana wanaume huwa wanalalamika wake zao ubadilika baada ya kuolewa. Hii ni tofauti na wanaume huwa hatu-fake character, yaani kama ni mlevi, muhuni, play boy n.k basi hizo tabia zote atazionyesha pale pale kwenye mahusiano ya boyfriend and girlfriend. Tatizo lenu wanawake kwenye kufanya uchaguzi huwa mna-prefer bad boys over nice guys. Nice guys huwa mnawakumbuka dakika za mwisho when you're done with the streets. Ndio maana mara zote nice guys wanakuaga retirement plan
Uko sahihi 😅
 
Kwenye upande hapo wa bikra kwa kweli nichangamoto sana kupata labda useme yule ambaye hajatumika sana tunaweza kukuelewa
Wapo ondoa scarcity mentality, fanya mawindo kwa wanawake ambao wanaoneka wana maadili na mwisho kabisa kama umekutana na mpenzi wako akiwa sio bikira ondoa ile fikra ya kutaka kumlinda kwenye mijadala inayosisitiza kuoa mwanamke bikira
 
Kuna our wish na kuna uhalisia. Nakubali kabisa kuwa kila mwanaume angependa kuanza 0 na mwanamke wake, Kama ambavyo wanawake tunatamani tungeanza 0 na mwanaume ambaye hajapigwa matukio/ mnaita mwenye trauma chache za mahusiano… Ofcoz sio mahusiano tu hata trauma za familia anakotokea. Kila mtu anatamani mtu pure, aanze kummodify mwenyewe unfortunately chances are 0.00006

Mahusiano ni process ya utu uzimani, na kwasababu hatuanzi mahusiano tukiwa watoto hatuna budi kukutana na watu waliopita kwenye mikono ya wengine. Huu ndio ukweli mchungu.

Bikra zingekuwepo kwa kiwango unachokihubiri hapa hakuna mwanaume angeacha kuopt huko.

Mimi sio kwamba nabagaza wanaume kutafuta bikra, No natoa suluhisho halisi, Nalo ni kutokuoa.

Leo sijataka kutumia ile kejeli yetu maarufu ya kuoa wanaume wenzao.
Tunavyosisitiza vijana kuoa bikira hatumaanishi hao bikira wamezagaa tu mtaani au labda wana alama usoni. Ofcourse kuwapata ni ngumu kwa maisha ya sasa lakini wapo.
 
Nyinyi wazazi wa kileo mmekosea mkatolewa bikra basi jitahidini muwalee watoto wenu katika miiko itakayowaepusha

Wewe umekosea imetolewa basi jitahidi kwa mwanao wa kike kumlea katika maadili na mume wake aikute hiyo bikra. Mbona hao wachache wanaweza kuzitunza na wanaume wenye bahati wanabahatika kukutana nao na kuwaoa!!!?

Ukibadili mtazamo wako na kuona kil kitu kinawezekana chini ya jua basi hata hili halitashindikana ila ukikomaa na sijui uhalisia basi mambo yatazidi kuwa mabaya kabisa huko mbeleni,tambueni haya mnayoyafikiria ndo mtawaachia vizazi vyenu,badilika mwanamke uiokoe jamii
Ni ngumu sana mwanamke kukubali accountability, ni either ata-play victim au atakua feminist ili apate fake relief ya kuhalalisha maamuzi yake
 
1.Boyfriend ni jina ambalo unapewa ili upumbuzwe na kubeba rasmi majukumu ya baba wa mwanamke. Inawezekana wapo wahuni ambao hawaitwi boyfriend na wanamnyandua.

2.Demu wako angekua na chaguo bora zaidi yako angekuacha. Yupo na wewe kwa sababu kuu mbili. Moja, anasikilizia kama harakati zako zitatusua ili aibuke na ule msemo wa kitapeli, "kwenye mafanikio ya mwanaume nyuma kuna mwanamke" . Mbili, katika list ya wanaume wanaomtongoza chaguo bora zaidi yako bado halijajitokeza. Zingatia: kila mwanamke yupo single inategemea katongozwa na nani.

3.Ndoa ni mkataba wa kitapeli kwa mwanaume. It takes someone to be a fool at high level to sign a contract with a woman who will be rewarded for breaking it.

4.Mwanaume usipoteze furaha yako kwa ajiri ya mwanamke, kwa sababu meza ikipinduka mwanamke hatojifikiria mara mbili kukupoteza wewe kwa ajiri ya furaha yake.

5.Usitumie hela yako kuboresha maisha ya mwanamke. UTAJUTA. Huo sio wajibu wako, ni wajibu wa wazazi na ndugu zake. Narudia tena, UTAJUTA.

6.Hakuna watu wanawapiga vita single mothers kama wanawake wenyewe. Wakalishe chini mama na dada zako waambie unataka kuoa single mother halafu tulia sikiliza michango yao. No woman want her brother or son to be scammed.

7.Wanawake masikini au jobless ni hatari kwa afya na uchumi wako. Wana-date ili ku-survive. Wewe sio mpenzi wake, ni chanzo chake cha mapato.

8.Definition ya upendo kwa mwanamke ni kwa kiasi gani unamtatulia matatizo yake. Ukisitisha huduma au akitokea mwanaume mwingine wa kutoa huduma za juu zaidi yako, upendo utakufa na sacrifices zako zote atazisahau. So don't overdo. Usiruhusu mwanamke akudanganye hajakufatia hela. Women follow you because of what you can offer, their love is transactional.

9.Mwanaume tajiri anaweza ku-date na mwanamke masikini na kumwinua kimaisha, lakini kwenye macho ya mwanamke tajiri mwanaume masikini ni takataka tu.

10. Wanawake hawavutiwi na mwanaume mwema. Mwanamke anamng'ang'ania mwanaume ambae ni careless and rudely kidogo. Anamuheshimu mwanaume ambaye anamwambia "hapana" na anamaanisha kweli hapana, sio mwanaume mwema anaejali sana na kufanya kila anachotaka mwanamke.

11.Wana-edit past zao. Wanaficha taarifa sahihi za body count, abortions na skendos kwa sababu wanajua hizo taarifa zinawaalibia soko. Usimuone yupo na innocent face, huyo tayari ashapigwa pipe na mashine za kila size, ashakunjwa style za kutisha, asha-cheat sana kwenye mahusiano yake ya nyuma. Usalama wako ni kuoa bikira tu.

Don’t be a simp
Sikupingi baharia.
 
Mnaoumia ni nyie ambao hamtaki kukubali matokeo.
Kwamba mwanamke awe na maadili mabovu, adange, ajiweke kwenye hatari ya kupata magonjwa na mimba isiyotarajiwa halafu aumie mwanaume.!

Ni vile wanaume bado tuna kauhuruma fulani kwa wanawake lakini tukisema kwa sababu feminist wamemwaga ugali na sisi tumwage mboga basi victim atakua mwanamke.

Leo wanaume kwa umoja tukiamua kuwa-treat wanawake kama wanavyofanya wale jamaa wa Talibani, hakuna chochote ambacho wanawake mnaweza kufanya.

Ni huruma ya wanaume tu ndio imewapumbaza na kujiona nyie ni inara zaidi. Tuwaondolee victim status mliyonayo na sheria zote zinazowalinda. Mumeo akisema akutandike makofi hakuna unachoweza kumfanya.
 
Mleta mada tumechoshwa na vi thread vyako vya kuponda wanawake.

Mwanaume aliyekamilika hawezi kuwa daily anapandikiza sumu kwa wanaume wenzake wachukie wanawake.

Si bure nina mashaka na wewe.
Kaa mbali na mijadala ya alpha males. Unazidiwa mpaka na wanawake uko juu ambao angalao wanajitahidi kujenga hoja.

Wewe wanaume unaoweza kuelewana nao ni wale wakina anko t na james delicious
 
Kwamba mwanamke awe na maadili mabovu, adange, ajiweke kwenye hatari ya kupata magonjwa na mimba isiyotarajiwa halafu aumie mwanaume.!

Ni vile wanaume bado tuna kauhuruma fulani kwa wanawake lakini tukisema kwa sababu feminist wamemwaga ugali na sisi tumwage mboga basi victim atakua mwanamke.

Leo wanaume kwa umoja tukiamua kuwa-treat wanawake kama wanavyofanya wale jamaa wa Talibani, hakuna chochote ambacho wanawake mnaweza kufanya.

Ni huruma ya wanaume tu ndio imewapumbaza na kujiona nyie ni inara zaidi. Tuwaondolee victim status mliyonayo na sheria zote zinazowalinda. Mumeo akisema akutandike makofi hakuna unachoweza kumfanya.
Anitandike nimemfanya nini? Kwanini mnatuonea huruma? Hatuwezi ku co-exist kwani? Mkafanya yenu na wanawake tukafanya yetu.

Hii ni movement, Wapo wenye victim mentality wapo ambao wameshajikomboa, Ni watu huru na watu bora bila hata ya mwanaume.

Kama hakuna faida ambayo mwanaume anaipata kwa kuinteract na mwanamke basi hamasishaneni muache muone kama kuna maisha ya kiumbe chochote yatasimama. It’s 2025 buddy.

Kwanini mwanamke akitoa mimba, akidanga, akiwa katika hatari ya kupata magonjwa ni hasara kwa nani? Si kwa mhusika mwenyewe? Sasa kwanini liwe tatizo kwa mwanaume? Bado haujanielewa. Mimi nataka accountability.. Mwanamke hajifayii uharibifu mwenyewe.

Najua unachotaka nijadili, Ila nimeamua kuwa delusional kama ninyi, Hampendi uhalisia wa mambo. Ikiwa kuna mharibifu lazima kutakuwa na mharibiwaji? Hili ni gumu kiasi gani kwenu wanaume kuelewa?

Ndio maana mimi huwa natoa solution moja, Wanaume achaneni na wanawake, Ili wasagane wajiharibu wenyewe. Mtakuwa katika position nzuri sana ya kuwakosoa. Sasa hivi tutazunguka kwenye circle ⭕️ ile ile.

Mbaya eeenhe?
 
Tunavyosisitiza vijana kuoa bikira hatumaanishi hao bikira wamezagaa tu mtaani au labda wana alama usoni. Ofcourse kuwapata ni ngumu kwa maisha ya sasa lakini wapo.
💯

Wajitahidi kwa hilo. Na pengine waseme kabisa kuwa hatuoi bikra iwe rai ya uumeni iende viral pengine mabinti wataogopa kuwa wazembe na kuwaendekeza wanaume.

Wakati huo wimbo wa accountability upigwe pande mbili, Wanaume wakiacha kuchezea mabinti wadogo ikifika umri fulani hawa unaowahamisha kuoa bikra watakutana na bikra. Hii issue ni circle, Bikra nyingi kwa sasa zinatolewa katika umri ambao sio wa consent.

Hii sio vita ya kisheria ni vita ya kihisia, ndio maana pande zote zinapaswa kuplay part yake vizuri.

Mambo mengine uliyohamisha ya kiumeni wala sijacomment.
 
F4FFD1B8-B796-4F4B-A2FD-DB557252F7AB.jpeg
 
Kuna our wish na kuna uhalisia. Nakubali kabisa kuwa kila mwanaume angependa kuanza 0 na mwanamke wake, Kama ambavyo wanawake tunatamani tungeanza 0 na mwanaume ambaye hajapigwa matukio/ mnaita mwenye trauma chache za mahusiano… Ofcoz sio mahusiano tu hata trauma za familia anakotokea. Kila mtu anatamani mtu pure, aanze kummodify mwenyewe unfortunately chances are 0.00006

Mahusiano ni process ya utu uzimani, na kwasababu hatuanzi mahusiano tukiwa watoto hatuna budi kukutana na watu waliopita kwenye mikono ya wengine. Huu ndio ukweli mchungu.

Bikra zingekuwepo kwa kiwango unachokihubiri hapa hakuna mwanaume angeacha kuopt huko.

Mimi sio kwamba nabagaza wanaume kutafuta bikra, No natoa suluhisho halisi, Nalo ni kutokuoa.

Leo sijataka kutumia ile kejeli yetu maarufu ya kuoa wanaume wenzao.
Mimi naunga mkono hapo kwenye bikra ni ngumu sana kupata kwa kweli
 
Back
Top Bottom